mi amor - marioo lyrics
mi amor
te amo
ohh baby mon amor
hakuna mwingine wa k*msikia
kwenye masikio yangu
hakuna mwingine wak*muona
kwenye macho yangu
nibebe nibebe
honey nishushe mahabani
aaah
nigege nigege
mie kwako taabani
heeeeeee mi amor
mmmmh
nikuite jina gani baby honey
mmh
mon amor
eeeeh
mi amor
mmmh
nikuite jina gani mahabuba lazizi
mon amor
ohh mon amor
kimamba on the beats
mmmh
yeeeah
heeey yeeeah
baby heeey
moyoni ulivyo ni kaa never seen before
unavyo nipa never seen before
wengine wa nini
hooo la la la la la laa
never seen before
tuwe wote mpaka kifo
madunga embe wa nini
hoo la la la la la la laa
kwenyе joto nipepee
kwa baridi nik*mbate
kwenyе mvua nikinge
uwe mwamvuli
nibebe nibebe honey
nishushe mahabani
nigege nigege
mi kwako taabani
eeeeeeeeh
mi amor
nikuite jina gani baby honey
mmh
mon amor
eeeeeh
mi amor
nikuite jina gani mahabuba lazizi
mon amor
oooh mon amor
Random Song Lyrics :
- there will be blood - the crimson ghosts lyrics
- anemic - lil house phone lyrics
- sovs til daddy - avci production lyrics
- elton john - naif lyrics
- niña virgen maría - real de catorce lyrics
- that's what love is for - room for two lyrics
- fango - swallow lyrics
- noneworld - mom lyrics
- dream - achero lyrics
- dicks out for harambe - xavlegbmaofffassssitimiwoamndutroabcwapwaeiippohfffx lyrics