dar kugumu - marioo lyrics
(ah bah)
nana nana…
dar kugumu kweli
toka nifikie mwaka wa tano ushapita
ila simaanishi nimefeli honey w*ngu we
nana na
washanikwamish*ga matapeli
maswahibu kibao yashanikuta
mpaka leo kupona yote kheri
mpenzi w*ngu wee
na tumshukuru maulana aah
tunapumua tunapumua
tia maji tia maji sawa
nilikotoka sio nilipokuwa
hivi vichange vilivyopatikana aah
tutakula na tutatanua aah
tone moja la halali dawa
kuliko kikubwa cha kukwapua
[chorus]
ila sio mbaya
ya miguu mitatu bajaji nimenunua
kiroho mbaya
chumba kimoja salasala nimeshapaua
ila sio mbaya
ya miguu mitatu bajaji nimenunua
kiroho mbaya
chumba kimoja salasala nimeshapaua
funga na vilago vyakoo
nakungojeea mama
niko stendi
aga na jirani zako
afu nibebee mihogoo nimeimissii
funga na vilago vyakoo
nakungojeea mama
niko stendi
aga na jirani zako
afu nibebee mihogoo nimeimissii
basi fanya himaa
mwenzio nimek*miss
nimemiss kukuoonaaa
nawe nambie ulichokimiss
subira yako imehusika sana kunizalishia
nikik*mbuka nilivokuachaga shidani
sikuona na budi kuhenyeka
yashaiva matunda tuje
kuvuuna aah unanisikii aah
nishazunguka sana kutafuta utajiri
bado sij*pata aah
[chorus]
ila sio mbaya
ya miguu mitatu bajaji nimenunua
kiroho mbaya
chumba kimoja salasala nimeshapaua
ila sio mbaya
ya miguu mitatu bajaji nimenunua
kiroho mbaya
chumba kimoja salasala nimeshapaua
funga na vilago vyakoo
nakungojeea mama
niko stendi
aga na jirani zako
afu nibebee mihogoo nimeimissii
funga na vilago vyakoo
nakungojeea mama
niko stendi
aga na jirani zako
afu nibebee mihogoo nimeimissii
maisha sio kutafutana
na muomba mungu hakosi hata chеmbe
nilipambanaaaa sana aah
hata wewe uvumiliе eeh
kikubwa imani tuu uu
nilikuwekee aah
tujee tulee eeh
tuuje tuule eeh
mi na wewe eeh
Random Song Lyrics :
- mike jones - snowy (us) lyrics
- ain ta'am - אין טעם - mish bejerano - מיש בז'רנו lyrics
- arca de noé - mirian souza lyrics
- upītes malā - renārs kaupers lyrics
- portales - robert tiamo lyrics
- live and die in cleveland 2 - 6ix23am lyrics
- bad woman - ruthie collins lyrics
- always high! - vex666 lyrics
- alko-hole - quiet xi lyrics
- persecution of bellissima morte - victorian halls lyrics