anisamehe - marioo lyrics
mwenzake nimeteleza
kunihuk*mu ananionea
mwenzake nimeteleza
ananikuk*mu ananionea
aaah nmemzoea
na siwezi kuishi bila yeye
aaah ye ndo nampenda
sijiwezi mama nakufa
basi mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
vanny boooy
sura nzuri atabasamu
ukimuona hapendezi
na makosa yetu wanadamu
pekeang siwezi
uuuyeee
nalewa nakesha
aniokoe kabla cjawa malaya
nalewa nakesha mimi
aniokoe kabla cjawa malaya
basi mwambie anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mwambieni anisamehe
mwenzake aah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
mmmh anisamehe
aaah anisamehe
nenda kamwambie babe
ninataka tena alichonipaga
nenda kamwambie babe
anikune tena anaponikunaga
chuuiii
Random Song Lyrics :
- conceited (clean) - flo milli lyrics
- the end of it all - tristan konkle lyrics
- luvv potion - o67 lyrics
- mon amour - guido cagiva lyrics
- how many ways exist to die - sinheresy lyrics
- de put - off-centre lyrics
- absurd - sivart lyrics
- calypso - jay foreman lyrics
- introspect - johari & andromida lyrics
- green, red, & white - universe narrows lyrics