lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

green - mando gta lyrics

Loading...

green
mando

green lyrics
grrt, grtt…
mi hukam na stick na sichezi polo
this time nakam tu solo
flex hio muscle niite bolo
kwa field niko gased ka ngolo

black on black niite zoro
na gwil ni size ya koro
ka ni doh unaeza borrow
na chain na rock ni goro

baby baby mi amor
anapendaga hii tu flow
nampatia give him nice and slow
anasemanga mi ndio pro

na gang ni bad na bado strong
hatuwezi toka kwa throne
na ka si doh am not involved
hio story ni adios
green si unajua to the bone
420 niko mandom
ka ni mando unajua ni boss
na bado niko na sauce
ka ni drill unajua siforce
mahater wanadu the most
kambi moto usitry ku cross
utajipata tu kwa box

green si unajua to the bone
420 niko mandom
ka ni mando unajua ni boss
na bado niko na sauce
ka ni drill unajua siforce
mahater wanadu the most
kambi moto usitry ku cross
utajipata tu kwa box

254 ndio drill inasimmer
na gang inaget more thicker
gta tunafight this beef
this side tunakeep it k!lly

inakuanga easy like 123
walichanga blade wakafold
poke and poke na hii si fb
like mando why you cold
pave down b*tch anasing along
kwa kila stroke ninamgivе
anajua mi humuonyesha mi ndio don
na kila time niko steam

na lеo niko itchy design ya junkie
na blade iko ready kudub
this scene naifanya too ugly
always naifanya burny

green si unajua to the bone
420 niko mandom
ka ni mando unajua ni boss
na bado niko na sauce
ka ni drill unajua siforce
mahater wanadu the most
kambi moto usitry ku cross
utajipata tu kwa box

green si unajua to the bone
420 niko mandom
ka ni mando unajua ni boss
na bado niko na sauce
ka ni drill unajua siforce
mahater wanadu the most
kambi moto usitry ku cross
utajipata tu kwa box

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...