lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rudi nyumbani - makamua lyrics

Loading...

[intro: makamua & enika]
yeah
baby please come back home
(aaah…)
rudi

[chorus: makamua & enika]
so, baby please,baby, please
rudi nyumbani, sitaki kurudi
pekee yangu mi naona siwezi, unaweza
so, baby please,baby, please
mapenzi, baki pekee yako
[?], bila mimi utaweza (?)

[verse 1: makamua]
nataka afrika nzima ijue kama nakupenda, ah
kwa mwingine sitoenda, ah
penzi lako la kweli na lithamini
baby, rudi nyumbani
pumzi yako kw*ngu naitamani
penzi lako burudani
ingawa ma miziki yananichanganya
club tu kila wiki napenda kujichanganya
mtoto nipate kula, yeah
ingawa ma miziki yananichanganya
matamasha kila wiki sikosi kujichanganya
mtoto niweze kula…
[chorus: makamua & enika]
so, baby please,baby, please
rudi nyumbani, sitaki kurudi
pekee yangu mi naona siwezi, unaweza
so, baby please,baby, please
mapenzi, baki pekee yako
[?], bila mimi utaweza (?)

[verse 2: enika]
napenda unavyonipa mi
chocolate, kadi na pipi
lakini una acha roho
muda wako na mapenzi
ndio vikubwa kw*ngu mi
umesahau kwamba mi ni wako
harufu yako (?) sipati yako mapenzi
na k*mbatia teddy bear w*ngu…
mi nakupenda sana
bila we nitakuwa kichaa
lakini madhara nimeyakubali
so, baby yeah…

[chorus: makamua & enika]
so, baby please,baby, please
rudi nyumbani, sitaki kurudi
pekee yangu mi naona siwezi, unaweza
so, baby please,baby, please
mapenzi, baki pekee yako
[?], bila mimi utaweza (?)
[hook: makamua]
you’re my angel (my angel)
you’re my angel (my angel)
ni wewe, oh, ooh, ooh
you’re my angel (my angel)
you’re my angel (my angel)
yes, you are
ni wewe

[chorus: makamua & enika]
so, baby please,baby, please
rudi nyumbani, sitaki kurudi
pekee yangu mi naona siwezi, unaweza
so, baby please,baby, please
mapenzi, baki pekee yako
[?], bila mimi utaweza (?)
so, baby please,baby, please
rudi nyumbani, sitaki kurudi
pekee yangu mi naona siwezi, unaweza
so, baby please,baby, please
mapenzi, baki pekee yako
[?], bila mimi utaweza (?)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...