lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bongo nyoso - majorway lyrics

Loading...

intro [major way]
yeah ooouh ouuh
major way na sancho wizzy
tunchi ay

hook [major way]
uziwa simu sabuni na bongo nyoso (bongo nyoso)
wanaiba mali kapuni na bongo nyoso
(bongo nyoso)
hizo ndo mishe za town na bongo nyoso
(bongo nyoso)
wanaiba mali kapuni na bongo nyoso
(bongo nyoso)

chorus [major way]
bongo nyoso (bongo nyoso)
bongo nyoso uoo
nyoso (nyoso)
kuna michosho uoo
jua la utoso (jua la utoso)
ni lamoto uoo
haulipi mkopo (haulipi mkopo)
huo ni utoto uoo
-2

verse [major way]
bongo nyoso (bongo nyoso)
usiforce no (usiforce)
daily photos (daily photos)
mixture totoz (mixture bebez)
hawa popoz (hawa cop’s)
ni wanoko (ni wanoko)
hawa popoz (hawa cop’s)
huwa hawa knock bro (nah)
they get in like toilets (yeah)
sema hatuna kwere (nah)
hapa pesa mbele(yeah)
mixture matembele (yeah)
hatuachi kelele hizi harakati na misele (yeah)
shout out afande sele (shout out)
tuweke uchumi mbele
uuuuuu

hook [major way]
uziwa simu sabuni na bongo nyoso (bongo nyoso)
wanaiba mali kapuni na bongo nyoso
(bongo nyoso)
hizo ndo mishe za town na bongo nyoso
(bongo nyoso)
wanaiba mali kapuni na bongo nyoso
(bongo nyoso)

chorus [major way]
bongo nyoso (bongo nyoso)
bongo nyoso uoo
nyoso (nyoso)
kuna michosho uoo
jua la utoso (jua la utoso)
ni lamoto uoo
haulipi mkopo (haulipi mkopo)
huo ni utoto uoo
-2

verse [sancho wizzy]
hold up
wanacheka kwenye nyuso k-mbe ndani wamenuna
wabongo bwana usiwe na kitu bwana wanakuona ka unaijashaua
(hold up hold up)
sio kama nasema sana me nimeona sana leo nakisanua
hawa watu usiwaamini sana mwanangu kama bado hujawajua
wanapenda useche (wanapenda useche)
kutwa hawabebeki (kutwa hawabebeki)
kutwa wanabet tu na mkeka hautick (mkeka hautick)
wana act hawa people (people)
lazima ucheze kama biko (biko)
bahati na sibu bahati na sibu
ndani jibu lipo

hook [major way]
uziwa simu sabuni na bongo nyoso (bongo nyoso)
wanaiba mali kapuni na bongo nyoso
(bongo nyoso)
hizo ndo mishe za town na bongo nyoso
(bongo nyoso)
wanaiba mali kapuni na bongo nyoso
(bongo nyoso)

chorus [major way]
bongo nyoso (bongo nyoso)
bongo nyoso uoo
nyoso (nyoso)
kuna michosho uoo
jua la utoso (jua la utoso)
ni lamoto uoo
haulipi mkopo (haulipi mkopo)
huo ni utoto uoo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...