hivo ndio kunaendanga - majirani lyrics
[intro]
ehh kam kawaida twajua siku zinaenda sana
(hivo ndio zinaendaga)
kasupu na sembe nikushiba mzee
ni kenrazy, majirani, visita
grandpa kama kawa
[chorus]
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
aaaaaah, hivo ndio kunaendanga
aaaaaah, hivo ndio kunaendanga
[verse: 1 majirani]
majirani hapa hahaha
so ushalala usiku ukaota umekufa
kwamka asubuhi gava imekusunda
ukastuka ukadai aky mbona
lakini apana jali
hivo ndio kunaendaga
ukanoki msupa ju anaenda kanisa
ukaharakisha k*muoa k*mbe ni merimela
so unapiga nduru ju ushapoteza hela
lakini apana jali
hivo ndio kunaendaga
ulihepa sistangu ukadai amechapa
ukahamia nairobi ukaoa kahaba
kuaribia kwanza alikuwa wa nyeri
mwanaume unachapwa
hivo ndio kunaendaga
si dunda dunda dunda dunda naye
hivo ndio kunaendaga
si dunda dunda dunda dunda naye
hivo ndio kunaendaga
[chorus]
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
aaaaaah, hivo ndio kunaendanga
aaaaaah, hivo ndio kunaendanga
[verse:2 kenrazy]
mambo msupa?, hivo ndio unaanzanga
and then machupa ndizo, ndizo zinamuezanga
kabla ukute kitu usha bleki, ushalala
(hivo ndio unatuangushanga)
nafanya madem wa come, razy mi nikiеndanga
the teacher, hе, vijana mkae rada
achana na chang, k*mi k*mi hutaonanga
chips funga, hii salaa, hutaimanga
example dem mmoja umempata
ukadhani ye ni fala, hatatanga tanga
after masiku (madam), ukimwitanga
mscheew, hivo ndio anaitikanga
na akiwa mbali simu hapigi ni ma please call me, ey
(hivo ndio amezoeanga)
na niki try ku holla back, speedy speedy masaa eish
(hivo ndio credo ilikatikanga)
[chorus]
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
aaaaaah, hivo ndio kunaendanga
aaaaaah, hivo ndio kunaendanga
[verse: 3 visita]
hi hi he he he, hivyo ndio nachekanga
kushiba mzee, kitambi napapasanga
kasupu na sembe, hivyo ndio mi nakulanga
rrrrah, wakati nilikuwa down
kwanza huko town, walinishow madharau
mafala hao, niliachana nao, wakaenda zao
(na hivyo ndio waliendanga)
vera, vera, vera, vera, vera, vera sidika
wengi wamekusakanga
si kwa ubaya ni vile bolingo zako zimetushika
alafu hujazifichanga
mwaah, mwaah, mwaah, raah, hivyo ndio wanaotanga
nipite naye, nipite nayo, vroooom
(na hivyo ndio tuliendanga)
[chorus]
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
hivo ndio kunaendanga
aaaaaah, hivo ndio kunaendanga
aaaaaah, hivo ndio kunaendanga
Random Song Lyrics :
- mañana (reggaeton remix) - danny gringo lyrics
- young man to the top - chopsta dachopp lyrics
- on the edge - sweetbox lyrics
- feel mi - jvybz lyrics
- light it up - eleni foureira lyrics
- ten feet tall - sam lachow lyrics
- fighting demons - quis.7 lyrics
- street jury - dolla plaza lyrics
- two different things - frostbyt3 lyrics
- токсин (toxin) - везувий (vezuviy) lyrics