lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

shashula - magix enga lyrics

Loading...

munchies zimeshika
kamejipin mandunya sio kubeba
kamebonya mikate tatu na hakajashiba
zima shasha,pace kanakula nayo noma
amaa

wacha nirequest kaboda
hawa mangoko wanakula hadi ngoma
hakuna nyongi ,walichoma hadi filter
mi ni chinese,nakulanga hadi paka
nina ch*nku anapendanga kula nyoka

shadda zimelipuka
ungedhani nyumba kibanda,nikuchachisha
na mangoko sio washamba,nik*matisha
na mashadda jo za gaza

washa kidogo
washa kigode
washa kishasha
enga enga

if you wanna diss,yoh bring it bring it
i,m the king of hits sina time na nyinyi
me ndio commander
wengine mdunge tumini
me ni king!,na wewe ni kidosho
mbwa wewe
cheza davido kwako
usituletee izo mangoma za kitoto
cheza mangoma za kenya,sio makwaito
kujipendekeza na radio si ya babako

me ni don,we ni dondaa
napiga look vinoma,zako gikomba
nakaa mbaya nak*mumu……..
mi ni bazenga,nafanya vitu haezi fanya

washa kidogo
washa kigode
washa kishasha
enga enga

if you wanna diss,yoh bring it bring it
i,m the king of hits sina time na nyinyi
me ndio commander
wengine mdunge tumini
me ni king!,na wewe ni kidosho

the way she looking at me
nikama kana joto,nika anataka stick
international dada
wacha nikushow
tunamada…
gyal dem whine take it down low
show them gyal what you got
mmh gyal i’m loving the way you wanna do
don’t be shy i want take you to my room

(shiet manze naimba kila kitu hii mwaka but anyway,enga enga)

if you wanna diss,yoh bring it bring it
i,m the king of hits sina time na nyinyi
me ndio commander
wengine mdunge tumini
me ni king!,na wewe ni kidosho

washa kidogo
washa kigode
washa kishasha
enga enga

if you wanna diss,yoh bring it bring it
i,m the king of hits sina time na nyinyi
me ndio commander
wengine mdunge tumini
me ni king!,na wewe ni kidosho

if you wanna diss,yoh bring it bring it
i,m the king of hits sina time na nyinyi
me ndio commander
wengine mdunge tumini
me ni king!,na wewe ni kidosho

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...