lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

afande - magix enga lyrics

Loading...

aah,pole nime come late
story uko ndani,haikua direct
hiyo day,nilikua studio,mindset
one take,na record khaligraph na bondock
oh,easy bro
nilikua hivi joh,na mavitu ya joho
na sio easy go,ni kisa,nikisaka,hizi doh
since magatekeeper ndio,wanafunga, hizi door
yeah man,bado still,sh*t ni same
socialite wana twerk,hadi,wanash*t, kwa game
wa naija na wa tz,ndio wako kwa fm
na siku hizi huhitaji content,ndio uweze kua fame
dem,ndio kikazi haijui,makadem
kshaka,labda nyash,kisa yuko,back again
eric wanaina,just another name
fadhili williams,au teddy josiah
what a shame
things zime change,sizo ulikuta
watu wana drill,wamesahau kapuka
kuna gengeton, genge inakufa
industry consistent,la sivyo,unashuka
ukiwa h*ll, paradise inabaki story
hata vice president,sio modi awory
huku ndani,haki na miss,ku flеx
siwezi k*mbuka,when,nilikua na miss, kwa s*x
vumilia tu,utatoka soon
rada ni safi,nilichapia,ma taikun
utashinda kеsi,utarudi mtaa
watu wanamiss kuskia,bars kwenye baa
naskia sleng,naona mume,upgrade
naona rasta,na nilikuacha na dred
naskia unawafutia,hadi wanakusaka
btw,nilipenda dundaing na kaka
sijui hata familia,iko aje huko
kama wanafaidika na mziki,na vile siko
last time,boy hakuenda shule,karo noma
hivi ilipita ile story,ya kulipia ngoma
watu walichoka,na mcsk
unachezwa kwa rotation,pesa haupokei
wasanii wanategemea,tu ma show
majozi,machozi,pia unaweza kosa dooh
dah,hakuna lucky ya asenal
sema nimeskia kuna cats,wako international
making us proud,ball isonge mbele
hivi bado wasanii wa kike,wanapingwa misele
not real,kuna mastar,mabikra
presenter akiitisha game,wanamuanika
sema tu,hawakawii kubadilika
sawa na gospel,vile walibadilisha
aah naskia ukibahatika,unavishwa rinda
ukiwa wazi,wanapita,wanaacha mimba
hadi wanyama,siku hizi wanaimba
sungura,jaguar,tembo hadi simba
tuache hizo bro,vipi uko fiti
naskia huku ukizubaa,kamisi kamiti
na boys wamek*mis,kwenye citi
na mashabiki,wamek*mis, kwenye mziki
niko poa,ni matizi,na machizi
mzigo unaingia,tunamoka na,kusizi
daily ni maangamizi
sema tu,ukipenda kuomba,utapewa ndizi
noma bazenga,ila be strong
maisha ya huku,inatosha song
usikate tamaa,hata ukipata knife
k*mbuka una wazazi,mtoi na wife
yeah,vijimambo vya jela
inabidi ukomae tu,ki mandela
respect,brother,umenijenga
keep up the good vibe,magix enga

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...