ghetto - mafia brooks lyrics
[verse]
mi ni kijana wa ghetto (ghetto)
nakuja namna hii (hii)
natoka kitaani ambako ni joto hatufahamu ac (c)
babe zile kali kabisaa (bisaa)
zinapandaga mathree (three)
ghetto matope kibao,babe kibao zakatwa for free (ooouuu)
chafu zangu za kitaa,hazili mpaka zikabe (karee)
kila ghetto kuna star,tunajirusha kibabe (ooouu)
kila muda kila saa..jirani kakabwa na njaa (njaa)
hakuna muda unapita bila polisi kufika kitaa (aaah)
shopping kwa mama pima, sijui kuhusu malls (malls) ,supermarket(supermarket) ama wapi (wapi)
kunaga watu wazima wana chuki za kitoto (toto)
rangi zao za kichina,eti kwa sasa wanamiliki soko
mateja kitaa wametinga (uh)
pande zote kila chocho (unh)
watoto wadogo wamepinda ukicheza kijana unavuliwa moto
mimba ya kheri kapewa nasiri si siri wadada washenzi (shenzi)
hakuna mapenzi ukimuacha kapenda mwengine hakuna mapenzi
pede, sheee, kahonga benzi babe mzee ni matapeli toka enzi
kila bar zinajaa na hakuna aliyelipa (lipa)
kwetu utashangaa ukija na gari unatupiwa miba
huko nyuma vigodoro, huku mbele ni mazishi (mazishi)
na malaya kwa chochoro ndio guest wana mulika mwizi
usiku kucha hatulali (lali) , w-nga wanatubiga chale (chale)
tunasubiri tu zali, tutoke tu kama wale (wale)
vifo kibao wizzoh wizzoh (huuuuh)
shida, za kwetu tumezizoea ukiwa fyetu watakuzomea zomea (aghar)
washkaji ndani ya suti,ndio wezi wa kita
mi bado nakaza buti,lini nitatoka kitaa
hakuna dini,mpadri mashehe wahuni
usiku twalala chini,tunaogopaga kunguni
tupo mjini, ila hali ni duni
sijui lini, tutamiliki kampuni
teja kaiba viatu stend kaviuza ghetoh (ghetto)
aliyeibiwa kaja street kauziwa tena jero (jero×5)
huuuuuh eeeeeeeh ooooh naah naaah naah naah naaah mafia brooks yu know how we do…26 life
Random Song Lyrics :
- kabus - karakan lyrics
- dxm - kallan lyrics
- break bread - north star lyrics
- zero picks - asaad (saudi money) lyrics
- it neva rains - tyga lyrics
- mr. maintain - jimmy e.l.e lyrics
- contract on the world love jam - public enemy lyrics
- acid rain - cane hill lyrics
- acorda abraão - hinos avulsos ccb lyrics
- temporary relief - peedi crakk lyrics