lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ex! - madini classic lyrics

Loading...

madini classic ex lyrics

madini classic yeaay (handsome)

kwanza, wacha nikushukuru umefanya nikajua mapenzi
kwa mateso yako
kwa vituko vyako
nikajifunza kujienzi (ma*ma*maa)

ila,hali yangu sio mbaya
natumai wee ulipo uko salama (uko salama)
na ilishapenda tena
mmmmh mi bado napambana
napambana na hali yangu
na sina sababu ni vile naiona dunia tamu.

mi bado napambana
handsome napambana na hali yangu
na sina sababu ni vile naiona dunia tamu.

natamani hata siku moja mimi nikupigie,
ila moyo unakataa.
natamani hata siku moja wewe unipigie,
aaaah, siwezi pokea.

namissi vile vituko vyako
kununa hata kwa makosa yako
nakuk*mbuka sana.

natamani hata siku moja mimi nikupigie,
ila moyo unakataa.
natamani hata siku moja wewe unipigie,
siwezi pokea.

nikuache, wacha nikuache ×4

ilivyo huyo mume wako anakudekeza nilivyokuwa kwako?
na ukinuna, anakubembeleza ama anakuvuruga eeeeh?

wanasema hata ng’ombe maskini huzaa
siku hizi nimeongeza ujanja mitaa
nalewa pia navuta widaa

ujuzi kitandani nimeongeza sanaa
hela nimepiga sina shida tenaa
nalewa pia navuta widaa

namissi vile vituko vyako
kununa hata kwa makosa yako
nakuk*mbuka sana.

natamani hata siku moja mimi nikupigie,
ila moyo unakataa.
natamani hata siku moja wewe unipigie,
siwezi pokea.

nikuache, wacha nikuache ×4

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...