lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

baby gal - mad ice lyrics

Loading...

(chorus)
kila kitu nachofanya unaona hakifai baby gal, mimi nifanyeje?
nimefanya mambo mengi nikuridhishe wee lakini gal, you driving me crazy.
nifanye kitu gani uelewe!
nifanye jambo gani uridhike!
… baby gal… (rough voc)

(verse 1)
nilihitaji unionyeshe mapenzi, ooh ulinionyesha.
sikuhitaji unifanyie upuuzi, ooh ungenikondesha.
nilikupa chochote ulichotaka, mradi nisione unahangaika.
lakini bado ulinifanyia pupa, tamaa kichwani zilikuzunguka.
nilihisi labda umenichoka, k-mbe tamaa tu zinakuhangaisha.
nionyeshe mapenzi na huba, hivyo vyote mpenzi vinapita x2

(chorus x2)

(verse 2)
ulimtamani mwenye simu mkononi, ooh nami nikanunua.
ulimtamani mwenye dreads kichwani, ooh kama nywele nikafuga.
ulinifanya nisifiwe njiani, eti kwa kuwa mii najithamini.
ila ukweli w-ngu upo moyoni, upendo w-ngu kwako niliuamini.
kama gari, fedha, nyumba nilikupa.
lakini bado penzi letu liliyumba.
ulitamani vingine vilivyo bomba, oh uwo uwo navyo ulipata.

(chorus x2)

(bridge)
napenda kukuona ukifurahi lakini jua tamaa haifai.
sasa nataka, unieleze unachotaka.
sio unione, mimi kama takataka.
kila nachofanya, kukiona kama taka.
utani force. kamba yetu kuikata.
wakati muda, bado haujawadia.
baby gal baby gal, hey iyeah iyeah.

(chorus x2)
end!

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...