pombe - macvoice lyrics
nataka pombe, nataka kulewa
nataka pombe pombe, nataka kulewa
eeh aiyoyoyo (it’s s2kizzy beiby)
eeh aiyeyeye
aah aiyoyoyo
eeh aiyeyeye
kama, kama sitaki
kama, kama sitaki
nacheza kama, kama sitaki
yaani kama ah ah kama sitaki
wanoko washamba, nawacheka kwa dharau (kama sitaki)
nishafuta namba wachawi wote nawasahau (kama sitaki)
sinanga mawenge, siwajibu wakitoka (kama sitaki)
sibishani na kenge, leta matusi nikublock (kama sitaki)
nina*kunywa bia (kama sitaki)
nina*kwama bia (kama sitaki)
eh eh eh eh aiyoyoyo
hio hio hio, aiyeyeye
shuka shuka shuka, aiyoyoyo
eh eh eh eh aiyeyeye
nataka pombe, nataka kulewa
nataka pombe pombe, nataka kulewa
nataka pombe, nataka kulewa
nataka pombe pombe, nataka kulewa
oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye
nakapa pombe kakilewa ndo nakashika, kama sitaki
napanda milima ghetto kileleni nafika, kama sitaki
ninakunywa bia, kama sitaki
ninakapa bia, kama sitaki
*****
leon lee
*****
nataka pombe, nataka kulewa
nataka pombe pombe, nataka kulewa
nataka pombe, nataka kulewa
nataka pombe pombe, nataka kulewa
oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye
(it’s s2kizzy beiby)
Random Song Lyrics :
- bring me to life - levianth lyrics
- fearfully and wonderfully made - charlotte martin lyrics
- every little thing - paperplanes lyrics
- um olho pra dois - sidoka lyrics
- don't waste ur time - shutups lyrics
- 16 - thermo lyrics
- laze - øffshore (korean artist) lyrics
- atlas - pointless aesthetics lyrics
- nienaiwne - sarsa lyrics
- rap shxt - adam calhoun lyrics