tulizana - mabudah bway lyrics
intro
eyoooo de kankara
(auu auuuu auuu auuuu auuuuu)
eyoo mabudah pon de area
(uuuuuuh)
verse 1
the way you touch ma body you take me high
when i see your smile you burn me fire
your beutful and i’m proud to be your lover
nipendane nawe twende sawa
yee ilikuwa utani,,,,aah ikawa story
nikakuweka moyoni weeee
ukanikaa kichwani nikakuota ndotoni wewe
wewe aaaaaaaaaah
i don’t want to make you sad
i don’t want to make you cry
i just want to make you feel owrite
with your love am getting high
baby, you know my vibe
you understand my timing
you control my body
don’t log me out i am falling in love and am sign in
(siyo siri yayaaaa)
chorus
kwenye himaya hii tawala
naimani unanipenda nakupenda sanaa
piga chini yasokuwa yamaana
tulizana tulizana tulizana
leo zaidi jana kesho tuzidi fanana
tunaenda sana yaani aaah yaani raha
wanimaliza mimi mwenzako mi nyang’a nyang’a
sanaa sanaaa mi nyang’aa nyang’aa
verse 2
umeniweza umenimaliza
umeniteka kwako mateka
kwenye movie like like star
we unang’aa unang’aa like star aaah
hivii enzi unajuwa
mapenzi matamu wawili wakipendana
ni zaidi ya siraha kama zaidi ya furaha kama
kupendana kwa sanaaa ndo inaleta maana
eeeh eeeh eeh everywhere i go baby your my size
kwenye matatizo peke yako unae nifariji
tena bila likizo
wanipa mimi nifaidi nikufaidi unifaid
your my divai,,,,,,
chorus
kwenye himaya hii tawala
naimani unanipenda nakupenda sanaa
piga chini yasokuwa yamaana
tulizana tulizana tulizana
leo zaidi jana kesho tuzidi fanana
tunaenda sana yaani aaah yaani raha
wanimaliza mimi mwenzako mi nyang’a nyang’a
sanaa sanaaa mi nyang’aa nyang’aa
Random Song Lyrics :
- mine - olivia giocondo lyrics
- гуманоид - voodik lyrics
- little fires - the gaslight anthem lyrics
- semi-automatic - sidecoh lyrics
- smile (simlish ) - lily allen lyrics
- climb it crisis - venjent lyrics
- vibe - bazooka pony lyrics
- revive us again - selah lyrics
- zeshkane bjondina - en music lyrics
- i want to say - liberation4you lyrics