sirudi home - maandy lyrics
ukinicheki hivi nina shida kama soo
kwa floor huwezi banju ju ya vile k*mechrome
after kulegalise nasafisha na cologne
nilipoteza key so siezi rudi home
siezi rudi home, siezi rudi home
nilipoteza key so siezi rudi home
siezi rudi home, siezi rudi home
after kulegalise nasafisha na cologne
matha ashanitext ati nisirudi home
siku kama tatu niko airplane mode
ati ninalewa aje na sina doh
pombe nikitaka nitapata bro
nami sinanga chali so lazima ni operate
mabeshte w*ngu headbad na sasa mi ni riet
body con just haga sеt figa riet
wochi ni mtiaji tutapita na gate
na nimeongеza lyft inanikimbiza ajab
damu inachemka ka experiment chem lab
hapo nje ya club nabugia mayai na kebab
ati ndio zishuke alafu nipandishe tena
ukinicheki hivi nina shida kama soo
kwa floor huwezi banju ju ya vile k*mechrome
after kulegalise nasafisha na cologne
nilipoteza key so siezi rudi home
siezi rudi home, siezi rudi home
nilipoteza key so siezi rudi home
siezi rudi home, siezi rudi home
after kulegalise nasafisha na cologne
na si tulitesa, kesi najibu later
na si tulitesa, kesi najibu later
na niko kwa dancefloor natry tu kubanju
alafu kimsee kinakuja nyuma yangu
k*mbe key nilisunda kwa bra
nikasahau ju sikubeba bag na tenje iko kwa kiatu
ka unapenda raha unajipenda fam
na ata uko na stress ka ni form utakam
niko na mbogi flani my crew my clan
wanatambua kabaya hili jiji tutarun
mi nataka tu slow whine
na msee tu fulani mfine
mali si ya chain ni ya mine
zikinirindukia sio crime
ukinicheki hivi nina shida kama soo
kwa floor huwezi banju ju ya vile k*mechrome
after kulegalise nasafisha na cologne
nilipoteza key so siezi rudi home
siezi rudi home, siezi rudi home
nilipoteza key so siezi rudi home
siezi rudi home, siezi rudi home
after kulegalise nasafisha na cologne
Random Song Lyrics :
- bättre än såhär - danièl (lyssna) lyrics
- cut deep - your friend jay lyrics
- hati yang terluka - muhammad dani lyrics
- i didn't mean to leave you - lou ragland lyrics
- l1f3g4m3 - quin3d! lyrics
- one more time - zaid tabani lyrics
- ip address - big lax lyrics
- затяжка (puff) - getsweet lyrics
- bon appetite - bang og lyrics
- hour of the wolf - plasticine cowboy lyrics