lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

hivi na hivo - maandy lyrics

Loading...

yeah uh, kabaya
(its jegede on the beat)
siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
kila kitu speedy na simple, hivi na hivo
kuwakunywa bila maringo
naipeleka hivi na hivo uh

hivi na hivo, hivi na hivo
hivi na hivo, hivi
naipeleka hivi na hivo, hivi na hivo
hivi na hivo, hivi
uh nina vitu mbili nadai tuongelee
tangu bei ipande sijali gathee
nina shida zangu usiniongezee
pambana tu kivyako aki niondokee

dishi sio yako ushaanza amen
nilikuwa nimesota nilikuwa na plan
tukibuy mambwakni na surwa ya ten
saa hii ni nyama kilo imewekwa kayen

si mi hupita nao, hivi na hivo
chain ikienda hivi, lazima irudi hivo
figa cocacola na amebeba zigo
katoto karembo

siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
kila kitu speedy na simple, hivi na hivo
kuwakunywa bila maringo
naipeleka hivi na hivo uh

hivi na hivo, hivi na hivo
hivi na hivo, hivi
naipeleka hivi na hivo, hivi na hivo
hivi na hivo, hivi

alikuseti aki stacy, nilikukanya kupendana na mathegi
ikiwa tamu sana jua mko wengi
ma sweet nothing
aki you drive me crazy
hivi na hivo ndio ulibеbwa baby
chezwa bano cracky no pay
kiburi hukuja ukidaiwa deni
saa moja mi ndio headlinе kwa telly uh

na ukiulizia watasema, manzi wa nairobi ameweza
cheza na mpesa, fuliza wanajua mi ni member
spirit of a nation nikituliz tu kwa keja

si mi hupita nao, hivi na hivo
chain ikienda hivi, lazima irudi hivo
figa cocacola na amebeba zigo
katoto karembo

siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
kila kitu speedy na simple, hivi na hivo
kuwakunywa bila maringo
naipeleka hivi na hivo uh

hivi na hivo, hivi na hivo
hivi na hivo, hivi
naipeleka hivi na hivo, hivi na hivo
hivi na hivo, hivi

siezi tupa rada naipeleka hivi na hivo
kila kitu speedy na simple, hivi na hivo
kuwakunywa bila maringo
naipeleka hivi na hivo uh
hivi na hivo, hivi na hivo
hivi na hivo, hivi
naipeleka hivi na hivo, hivi na hivo
hivi na hivo, hivi

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...