natamani - m kingson lyrics
ohh ayyy
jicho laona lakini halitambui
(the eye sees but doesn’t tell)
sikio lasikia lakini halielezi
(the ear hears but doesn’t tell)
nafsi imeridhia lakini haitendi
(the soul is willing but doesn’t act)
mikono inatamani kushika haiwezi
(hands wishes to hold but it can’t)
mi natamani “niwe mto wako
(i wish to be your river)
kukuangalia ” wakati umelala
(to watch you while you sleep)
kwa matumaini “ya kukuona
(hoping to see you)
ukitabasamu ” wakati unaota
(smile, when you are dreaming)
kipenzi changu acha nikupe siri
(my love let me tell you a secret)
we ndio w*ngu wa maisha
(you are mine for life)
wazazi w*ngu nao wameshakubari
(my parents have also agreed)
we na mimi mpaka kufa
(you and i until death)
we dada, “haiyaa haiya
(hi, sister, “haiyaa haiya)
njoo uooh ” njoo nakuita x2
(come uooh “come i’m calling you”) x2
usiwaze ubaya ubaya
(don’t have bad thought)
kwa jibu lakooo
(on your response)
ntaskia vibaya baya
(i’ll feel bad, bad)
mimi mwenzakoooo
(me, your partner)
ninakila sababu ya kuwa naaawe
(i have all the reasons to be with you)
chonde chonde basi nieleewe
(please, please understand me)
elewa, elewa elewaaa
(understand, understand, understand)
usinikatishe tamaa
(don’t let me down)
nijione sina ngekewaaa
(see myself without hesitation)
hee
(hey)
elewa, elewa elewaaa
(understand, understand, understand)
mi nikiwa nawewe moyo utapata raha
(if i be with you my heart will be happy)
kama nakuona kwenye sineemaaa, “sinema
(like i’m watching you in movie, “movie)
unafanana na weemaaaa, ” na wema
(you look like kindness, kindness)
we dada, “haiyaa haiya
(hi, sister, “haiyaa haiya)
njoo uooh ” njoo nakuita x2
(come uooh “come i’m calling you”) x2
Random Song Lyrics :
- yes a’bhalaich - peat and diesel lyrics
- grat - quasi (deu) lyrics
- pixar moms 2 - lil kori lyrics
- lost in my head - juice wrld lyrics
- luxor | الاقصر - marwan pablo lyrics
- was hab ich verpasst? - tabib lyrics
- the lord is my shepherd - maurice greene lyrics
- curious - jørd & henry dell lyrics
- pour me up - fxmjaylin lyrics
- don popi - tae linen lyrics