lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

niambie lyrics - harmonize lyrics

Loading...

mujini kipenzi, silani shilingi baby
kupendana zamani ndo wanavyosemaga
wazuri ni wengi, ila uongo mwingi baby
wakishaviona vya ndani basi wanak*mwaga
ndo maana ukichelewa dukani, mie kamoyo kananidundaga

nawaza asije mangi jirani, akakuonga kilo ya unga aah

[hook/chorus]
oooh mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
bora nikuweke wazi, yanini nikufiche gambe
tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande
niweke wazi nikipi kinafanya unipende

niambie, tell me baby love,oooh basi niambie
vipi unanipenda ingali sina doo, usije nitenda ukaniumiza roho

[verse 2]
siku hizi magari ya wakongo, mapesa mara nyumba mbezi
usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
sijakuwekea ndumba, umenipendea rhumba
vipi nikija tunda oooooh oooh
usije mgezea punda, ukaniachia ngunga
wanak*mеndea chunga oooh oooh

[hook/chorus]
mbaya zaidi sina kazi, nakosa senti tano ya kipande
bora nikuwеke wazi, yanini nikufiche gambe
tumeumbiwa shida maradhi, ndo chanzo mpaka wengi wadande
niweke wazi nikipi kinafanya unipende
niambie, tell me baby love,oooh basi niambie
vipi unanipenda ingali sina doo, usije nitenda ukaniumiza roho

umenipendea!!!! kipi mama,(basi sema ) umenipendea ingali sina doo

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...