single boy (feat. lady jaydee) lyrics - alikiba lyrics
instrumental
yoh,single boy,,am records
am a single boy!
pop it in .yeah yeah.
pombe ni kichwa kinauma, kishalewa, anajipoza na maji
na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza mamelody
nishamwambia nini wewe, kupenda sana utakuwa chizi
hayanaga mjuzi yahwe, kila mtu *n*lilia mapenzi
karibu chama la bachelor, ukinipenda, namaliza leo leo tu
siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu
hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale
money on the table now, kinachofata ni mimi na wewe, na wewe
who the single boy, i am a single boy
who the single boy, mi naye single boy
who the single boy, mi na we single boy
who the single boy, single single single boy
who the single boy, i am a single boy
who the single boy,we the single boy
who the single boy, mi na we single boy
who the single boy, single single single boy
who the single boy
i am a single boy
2(lady jaydee)
nimemkuta *n*lia, kajilaza, sababu amechoka
mengi amevumilia, yalomkwaza, anataka kuondoka
ana siku ya pili sasa, hajarudi nyumbani kulala
namuonea huruma sana, haya mapenzi hayana maana
karibu chama bachelor, ukinipenda, namalizana leoleo tu
siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu
hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale
money on the table now, kinachofata ni mimi na wewe
who the single girl
who the single girl
who the single girl
who the single girl, am the single single girl
who the single girl, who single girl
who the single girl, single single girl
who the single girl, who the single girl
who the single girl, single single girl
who the single girl
who the single girl
who the single boy, i am a single boy
who the single girl, i am a single girl
who the single boy, mi na we single boy
Random Song Lyrics :
- #sadvalenplugg - deep brain lyrics
- all black - ritual veil lyrics
- 30 for 30 - terr9r lyrics
- i need jesus - matthew west lyrics
- afraid - selfmxdebless lyrics
- 10 piges - hyacinthe lyrics
- snow angelz - diana starshine, new sylveon & gnaar lyrics
- the defiant - skillet lyrics
- танцуй со мной (tansui so mnoi) - alenina lyrics
- samma sort - eldkvarn lyrics