ona - lulu diva lyrics
moyo si unge baki nao
nifanye kivuli
ruksa tu unichote nyao
unifunge nitulie tulii, oooohhhh
mwafulani anauliza umenipa nini?,…..
kwa udi na ubani, nimekulia amini
wanao nitamani wapo, aaaahhh
ila sijaona
nakupenda peke yako maaanaa mapenzi nimekoma
kama kipofu mi sioni
uchungu wa mapenzi unakaba koo
situkani mamba mtoni
umenipa yote naomba poo!!!……
baby
ona sasa ona, ona sasa ona x 2
ona sasa ona, ona sasa ona x 2
i swear i believe girl
umenikata kichwa nmebaki kiwili wili
niongeze ulicho nipa kita kwa mshipa utibue makirikiri
mpaka juu wana ning`inia ukirudi chini nadidimia
usinipe penzi makinikia, mi kwako nisha oza nishajifia
nimekuwa mlevi wa penzi lako, ongeza nilewe
mwambie mganga wako kaniweezaa
sioni maneno ya watu kw-ngu kama choo
mtoto kama chimvi jikoni, nilipo kuonja nikaomba poo
ona sasa ona, ona sasa ona x 2
ona sasa ona, ona sasa ona x 2
asa baby simamia, kidedeee
tena ng`ang`ania, kidedeee
vyote nabugia, kidedeee
huku naugulia, kidedeee
nipe hata kimoja, kidedeee
nisamamie ukucha, kidedeee
mtamu kama embe za kibada,kidedeee
mbuzi kafa kwa bucha, kidedeeee
s2kkizy baby!!……….
Random Song Lyrics :
- flip medisin - tyr (nor) lyrics
- oas - dina ögon lyrics
- views from the valley - skyzoo & the other guys lyrics
- silicone baby - izzi guma lyrics
- аргументы и факты (arguments & facts) - kazimir uh2o lyrics
- la jaula - arpaviejas lyrics
- long nights, long days - 16raheem lyrics
- no quiero verte (piltrafas) - nikki clan lyrics
- lune - 8ruki & binks beatz lyrics
- want me, need me - false serenity lyrics