kweli - lord eyez lyrics
yeah yeah
full definition of hip hop (kweli kweli)
king eyez
i’m me
kweli kweli kweli
eeeh
barabara hatuchonganishi
naonganisha reli
kiwanja kilishakwisha
mdege unakejeli (kejeli kejeli kejeli)
(kweli) (aaahaaahaa) mmhh (kweli)
huu ni ukweli au kali,
kweli heri,
nataka niwasaidie mateja feli,
nataka niongoze nchi iende vizuri,
sihasa za kibepari hatuzihitaji (kweli)
sihasa ni maji taka wanabadilika (kweli)
wale waganga njaa angaza itawaunguuza,
ukipuuza usaa kidonda utauguuza,
usiniletee mzaa mjanja ntaunguuza,
usinitangazie njaa hata mimi nauguuza,
msitufuate hapo nyuma mission mtaunguza,
wanatufata hapo nyuma,
ubunifu wanapuuza,
tunaanzisha unafuata,
halafu unataka kutuchuza,
watu bado wanakula rushwa (kweli)
watu bado wanaiga maisha (kweli)
eti weusi ndio wanaibeba hip hop (kweli)
mimi ndiye definition of hip hop (kweli)
barabara hatuchonganishi,
naonganisha reli,
kiwanja kilishakwisha,
mdege unakejeli,
(kejeli kejeli kejeli) (kweli)
barabara hatuchonganishi,
naonganisha reli,
kiwanja kilishakwisha,
mdege unakejeli (kejeli kejeli) (kweli) aaahaahaa (kweli)
bado hatujasimama masuala ya elimu (afya)
bado sijamaliza miundombinu (chafya)
tunatoa maboko huru,
na mnaamua kutoza ushuru,
tunatoa walioko juu na unashusha saizi ya kati,
tunatoa walioko chini tunaf-kia ardhini,
nafika mzigo huru,
vitu vingi ni mururu,
muda mchache vitu vingi,
siwafanyi kunguru,
walishatokea boko,
wastaafu vigogo,
watoto wazuri ndo washika bako,
wazoefu vigogo,
tufanye kazi wote,
tuinuane wote,
na iyo keki ya taifa,
basi tuile wote,
amani ni juk-mu letu mi na we,
watu bado wanapata tabu (kweli)
watu bado hawana kazi (kweli)
eti weusi ndo wanaibeba hip hop (kweli)
mimi ndie definition ya hip hop (kweli)
barabara hatuchonganishi,
naonganisha reli,
kiwanja kilishakwisha,
mdege unakejeli (kejeli kejeli)
(kweli) aahaahaa (kweli)
eti weusi ndo wanaibeba hip hop (kweli)
nataka niongoze nchi iende vizuri,
(kweli)
aahaahaa
(kweli)
(kweli)
aahaahaa
(kweli)
end
Random Song Lyrics :
- trust me - coults lyrics
- learn to love - fear zero lyrics
- balls - cucci, gg. lyrics
- no es mi culpa - salma gonzález najera lyrics
- cherry red (bvne remix) - razakel lyrics
- masquerade - bella's bartok lyrics
- going sick - steezaleo the great lyrics
- there's no reason - steakfry lyrics
- à fleur de peau - dorian (tlr) & tendresse (tlr) lyrics
- maurício - quim barreiros lyrics