hadithi - llawrenc lyrics
[hook: llawrenc]
na ashanitonesha moyo kidonda likawa kovu
namtaka kichoyo nitampata mbaya mbovu
oya mwana (x2)
[verse 1: blu]
yaliyopita sio ndwele
tugange yajayo
maisha safari
kwa penzi lilo mbali
mapenzi bodaboda
wawili walopatana
penzi lilo kafara
lisilo hasara
[hook: llawrenc]
na ashanitonesha moyo kidonda likawa kovu
namtaka kichoyo nitampata mbaya mbovu
oya mwana (x8)
[verse 2: blu]
kama hili ndilo safara
twende hadi tana
maisha safari
kwa penzi lilo mbali
mapenzi bodaboda
wawili walopatana
penzi lilo kafara lisilo hasara
ninavyoishi hii ndo hadithi
ninavyohisi ndivyo nilivyo
mola tuangazie
lala lala lala
usinitupe usinipite
penzi letu hilo k-mbuke
mola tuangazie
lala lala lala
[chorus: llawrenc]
usinitese mpenzi (x2)
nakupenda mwenzio
[verse 2: llawrenc]
she’s the type of chick everybody would k!ll for
she sips slow just to let you know what you in for
you need more? she serves
you ain’t know? absurd
6 inch stilletoes just to kick you to the curb
mama told me i’m better without her
kaa si versace ni prada
designer kwa sana kila time ananifanya fala
mang’aa na gaa gaa
kichaa kuwaza
kizaazaa balaa but i keep coming back
though it hurts and the pain is insane
but what’s worse is you’re deep in my vein
and am a feind
so go slow, cameras photos
so sure the limelight will sn-tch her soul
[hook] (x2)
chorus
Random Song Lyrics :
- kido - only1pabo lyrics
- junkie - kennybud lyrics
- chowder cough - gargamel! [usa] lyrics
- welcome - divin' jaass feat. marcxs lyrics
- благо - tilmil lyrics
- girl i wish i didn’t know (acoustic) - seafret lyrics
- preparando mi equipaje - okidoki lyrics
- bunny plek - the edge of reason lyrics
- spade - naked days lyrics
- 4love - jopippins lyrics