lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

usidhani hatujui - lixel rols lyrics

Loading...

penye umetoka kuna moto umewaka
msela ulifanya nini?
ulifanya nini?
penye umetoka kuna moto umewaka
msela ulifanya nini?
ulifanya nini?

usidhani hatujujui..(like we dont know)
hatujujui.(acting like we dont know)
usidhani hatujujui..(like we dont know)
hatujujui.(acting like we dont know)

unatupanga na ma literature
signature zako zina indicator
you are a person with a tricky nature
temperature yako na nomenclature
unachapa tu storeee..
storee
rada yako tuisoroo..
roree
tunataka utuch-r-..
ujinga wako tuuone..
soree…

penye umetoka kuna moto umewaka
msela ulifanya nini?
ulifanya nini?
penye umetoka kuna moto umewaka
msela ulifanya nini?
ulifanya nini?

usidhani hatujujui..(like we dont know)
hatujujui.(acting like we dont know)
usidhani hatujujui..(like we dont know)
hatujujui.(acting like we dont know)

kama kupanga njo njoo utupangee..
come feed us your lies
nakulenga ndio ujipangee..
so i cut off your ties
we know your design
why you wasting my time
my time so divine
your lane i resign

usidhani hatujujui..(like we dont know)
hatujujui.(acting like we dont know)
usidhani hatujujui..(like we dont know)
hatujujui.(acting like we dont know)

penye umetoka kuna moto umewaka
msela ulifanya nini?

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...