nairobi - lixel rols lyrics
nyama zinachomw-nga
ngoma zinagoganga
na watu wanasonganga
maji tukikatanga
ka jaba tunachananga
lolo zinalambw-nga
na mito zinasonganga
matatu zikigo gaga…
nairobi, nairobi, nairobi
tembea kwa makini
siulize kwa nini?
wajanja wengi sana..
wa mbogi na mipini
warembo weh..
heeehe! kijana utachizi
ukitaka kanungo..
wawili wawili, heehe!
kanungo, kanungo, kanungo
kanungo, kanungo
kanungo, kanungo, kanungo
kanungo, kanungo
ii jam tu ni aje joh
mbona inaleta noma
kanjo niaje joh
mbona unaleta noma
weh karau tu niaje joh
mbona unaleta noma
me i want to party
i want to party
in nairobi
nairobi
in nairobi
nyama zinachomw-nga
ngoma zinagoganga
na watu wanasonganga
maji tukikatanga
ka jaba tunachananga
lolo zinalambw-nga
na mito zinasonganga
matatu zikigo gaga…
nairobi, nairobi, nairobi
kusanywa mommy
kubondwa daddy
kucheki wathii
kudeal na wazii
kuchill jivanjii
na mapastor mwitu nanii
iwe wazi sipendi line za kupanda mathree
nikitoka kazi sitaki kusmama smama kwa njia
ii jam tu ni aje joh
mbona inaleta noma
kanjo niaje joh
mbona unaleta noma
weh karau tu niaje joh
mbona unaleta noma
me i want to party
i want to party
in nairobi
nairobi
in nairobi
nyama zinachomw-nga
ngoma zinagoganga
na watu wanasonganga
maji tukikatanga
ka jaba tunachananga
lolo zinalambw-nga
na mito zinasonganga
matatu zikigo gaga…
Random Song Lyrics :
- como antes - pacho & cirilo lyrics
- the words i wanna hear - indigo point lyrics
- nie dzwoń - kuba knap lyrics
- carry me home - hey rosetta! lyrics
- reinstated - son doobie lyrics
- fundido a negro - legendario lyrics
- torn apart - snoop dogg lyrics
- mémoires d'outre tombe - sat l'artificier lyrics
- banned from the club - waka flocka flame & slim dunkin lyrics
- trap money prof - dogside music group lyrics