lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kwanza zima stima - linkyonwaves lyrics

Loading...

[chorus: linkyonwaves]
ngoja, kwanza zima stima
ngoja, kwanza zima stima
kunitisha ina bidi nime ficha
dame kiatu na mafom joh ana fika
ngoja, kwanza zima stima
ngoja, kwanza zima stima
kunitisha ina bidi nime ficha
dame kiatu na mafom joh ana fika

[verse 1: linkyonwaves]
niko shy, ebu zima stima
joh ni chocha ni vile we huja iva
tune zetu zina beat kwenye speaker
nilidhani zita leta vitu cleaner
imebidi joh walai na safisha
juu huyu dame ana fanana na king kong
but ana haga me nashuku ame dunga thong
rhyme scheme iko clean, hii ni sing a long
niko na eka na hii album basi ina drop
heri nilewe niji pox, wani gande wani box
niko juu kwenye rocks, henny henny na mandom
buda boss kuni cross, utapigwa tu na glock

[chorus: linkyonwaves]
ngoja, kwanza zima stima
ngoja, kwanza zima stima
kunitisha ina bidi nime ficha
dame kiatu na mafom joh ana fika
ngoja, kwanza zima stima
ngoja, kwanza zima stima
kunitisha ina bidi nime ficha
dame kiatu na mafom joh ana fika
[verse 2: eka 12]
nime fika bash na ma chrome na ma g bag
watu wana dance na madem wana jipa
wale wame nice wana do gully creeper
p2 wame meza hawataki hata mimba
nimecheki peng ame beba ka onika
hizo haga joh n*z*shika kama keeper
ali taka ndom, bana tuka chuom
akasema eka me nataka hio glock
nilishuku dame ana taka kuni lock

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...