dar-es-salaam usiku - linex lyrics
[intro]
the v.o.a
[drop native langauge]
the bad number
[verse 1]
limehama bata
kutoka tabata
tuna kwenda kino
kung’oa [?]
tuje nao sinza
si tumejipata
tumejipata
kuna watoto wa kali
wapo kidimbwi
simu zao zinanivuta
wale wa juliana, element, kitambaa cheupe
nitawafata
[pre*chorus]
dar es salaama ‘usiku
kofia zinashushwa kama*
shusha marijuana
hakuna kujuana
na nikiwa liquid, [?] lounge na china bar
usiniletee michongo
ya kuni*text ”wapi hiyo?”
kuniita kiongozi, mkubwa, big, wapi hiyo?
ndio za wapi hizo?
[chorus]
dar es salaama, usiku
moro, usiku
(iringa)
mwanza, usiku
arusha, usiku
dodoma, usiku
dar es salaama, usiku
tanga, usiku
kigoma, usiku
(shy*town)
mbeya, usiku
tabora, usiku
ah
[verse 2: dikah]
usiku wa leo nimejipata
meza yangu ina wachumba
[vsop] na [moet]
[?] inakuja inapishana
sitaki shobo kujuana
kwenye table kugandana
umekuja kusalimia
sasa mbona tunagandana?
(abantu)
oya we agiza shisha [?]
mitungi vesha
ah, ah…
leo
tunakesha
[pre*chorus]
dar es salaama ‘usiku
kofia zinashushwa kama*
shusha marijuana
hakuna kujuana
na nikiwa liquid, lounge china bar
usiniletee michongo
ya kuni*text “wapi hiyo?”
kuniita kiongozi, mkubwa, big, wapi hiyo?
ndio za wapi hizo?
[post*chorus]
dar es salaama, usiku
iringa, (usiku)
kagera
(singida, usiku)
igunga, usiku
musoma, usiku
dar es salaama, usiku
mtwara, (usiku)
songea, usiku
geita, usiku
kahama, usiku
[outro]
masela wananivuta samaki samaki, wavuvi, [?]
elephant, (ze don), [berry’s flavour], the hub, bambalaga, [? j], ngalawa
dreamcash records
na j*j*j eidah
king lumo
d ze don
mika wa v.o.a
number
Random Song Lyrics :
- dreamscape discombobulate - black chilli lyrics
- turn it into love - lovers wanted lyrics
- love is a verb (traduzione in italiano) - john mayer ita lyrics
- titan - kenny mason lyrics
- and i fucked up (live) - two feet lyrics
- but i found you - johnny tame & peter maffay lyrics
- la verdad - nouha lee lyrics
- waiting my whole life - pablo skyes lyrics
- the price you pay - the moon city masters lyrics
- hope - kvi baba lyrics