umbwakni - lilmaina lyrics
[intro: wizzo tanonane & lilmaina]
jordan mbwakni
zitafanya tumnyime kura 2022
si ndio ma top lager 254
wana dm wakidai magoods
kwani ni kesho?
i chiefed with mwololo
na za umbwakni, hizi ni gani
na za umbwakni, hizi ni gani
[verse 1: lilmaina]
sitaki jordan za umbwakni
manzi yako kapenda konyagi
ni hivyo niko roll on
chris kaiga niko on
na akipiga zima phone (zima phone)
na maboys wako ndani
na wakileta reba kuna chai
manzi yako ako ngong
kando hapo king kong
anapewa kitu long
[pre*chorus: lilmaina]
kahush kapigwa na mwiko
masanse wako kwa diro
manze bado zimewai
hazishuki walai
[chorus: lilmaina]
you’re always on my mind
hizi jordans gani unabuy
ni za umbwakni, hizi ni gani?
you’re always on my mind
hizi jordans gani unabuy
ni za umbwakni, hizi ni gani?
[verse 2: lilmaina]
niko na wizzo tano nane
na kama ni kucheat usipatikane
alitoka home saa nane
na bado anaomba tupatane
hii ni rnb hii si gengetone
manzi yako ati ako home
relationship ya umbwakni
na buda uko nai
[pre*chorus: lilmaina]
kahush kapigwa na mwiko
masanse wako kwa diro
manze bado zimewai
hazishuki walai
[chorus: lilmaina]
you’re always on my mind
hizi jordans gani unabuy
ni za umbwakni, hizi ni gani?
you’re always on my mind
hizi jordans gani unabuy
ni za umbwakni, hizi ni gani?
Random Song Lyrics :
- bad seed - abi reimold lyrics
- reason with me - sinéad o'connor lyrics
- h.i.t.h - meadowlark lyrics
- you never know - original broadway cast of if/then lyrics
- три вкуса (tri vkusa) - golqm yus lyrics
- hey! we ok - never shout never lyrics
- doppelganger - nonbeliever lyrics
- can't take this - mistaman lyrics
- no heart - luhh jaay lyrics
- social justice song - 404 lyrics