nakam saii - lilmaina lyrics
[intro: lilmaina]
krrt krrt krrrrr
huh huh huh! dont mind me
krrrt krrrrr watoto wakorofi
stunaaa
ah skia skia
[chorus: lilmaina]
ati don’t mind me (kwanini)
niko club na mpeng wanataka kunitrace usitense mi nakam saii (saii)
ngata inadie na tenje inadie lakini usitoke mi nakam saii (saii)
na sina id na bouncer akiuliza we msho mi ntakam saii
ati nita nita nita nita (ati ati)
dont mind me (kwanini)
niko club na peng wanataka kunitrace usitense mi nakam sahii (sahii)
ngata inadie na tenje inadie lakini usitoke mi nakam saii(saii)
na sina id na bouncer akiuliza we msho mi ntakam saii
nita nita nita nita nita nita nita kam saii
[verse 1: lil maina]
cause im the big man with the big swag ningekuwa ndula ningeitwa new ballance
between life ama school hii career
b*tch i made like 4m’s ngoja sasa this year
niliomba sauti yangu ikuwe salary ya engineer
stunna big dawg (woof)
nikibark wanaskia
approach with a caution kama (silencer!)
hakuna dame huku nje siwezi (manage her!)
na wanaanza kuniita ati ( calibar)
shots zangu zote hukuwa loaded niko (ndani bruv)
big facts n*gga ma zig zag n*gga
mradi zangu kote kote hutawai nyita
niko kwa ndege kitu na beat ni time lapse na jetlag
so i dont give a f*ck n*gga
[chorus: lilmaina]
ati ati ati don’t mind me (kwanini)
niko club na mpeng wanataka kunitrace usitense mi nakam saii (saii)
ngata inadie na tenje inadie lakini usitoke mi nakam saii (eeh)
na sina id na bouncer akiuliza we msho mi ntakam saii
nita nita nita nita nita nita nita kam saii
[verse2: sosatheprodigy]
huku fom tu ni mukuchu ching ching
mimi na jere tuko juu ya ma bling bling
doba zetu mbwaya si ndio real deal
zenu bana ziko chini si ndio ma king pin
chuma ilale ndani kaa inafit in
mama hunipa ganji hio naita pin pin
konyolo cup bana we drinking
nimefunga kilemba kama sim sim
ati unabanja sana kuna venye unanip*ss kaa mkojo
power puff girls mi ndio mojojojo
venye hizi goshodo n*z*fikisha kwa lodjo
angalau kam kam form na ikuwe kolo
niko ma goon embakasi tukidhigita mitambo
hio haga naidandia kama donda na mlango
jaba na mix ni za doba za kitambo
ukibeef ki mgera g nje utafumble
[chorus: lilmaina]
don’t mind me (kwanini)
niko club na mpeng wanataka kunitrace usitense mi nakam saii (saii)
ngata inadie na tenje inadie lakini usitoke mi nakam saii (eeh)
na sina id na bouncer akiuliza we msho mi ntakam saii
nita nita nita nita nita nita nita kam saii
Random Song Lyrics :
- antes de partir - autêntica lyrics
- first of my generation - 90 lyrics
- kolem mě - zelený stín lyrics
- step n ride like ninja - ninja we made it. lyrics
- kuromi [you’re my melody] ~ re:master - oribloom lyrics
- malignance - moral law lyrics
- on god - erick mars lyrics
- lonely - max lenz lyrics
- clouds - flo wachs lyrics
- don't ask, don't tell - stige lebaka lyrics