katika - lilmaina lyrics
[intro]
*kama ule wa metro we boomin*
huh mmm ah
xss xss xss xss
krr krrr krrrr
mbona uko shy venye wewe ni ka..
katika..
[chorus]
mbona uko shy venye wewe ni karembo
kwa hivyo baby katika
na ona ukisonga unatishia warembo, cheki baby katika
mbona uko shy venye wewe ni karembo
kwa hivyo baby katika
na ona ukisonga unatishia warembo, cheki baby katika
[verse]
ati s*t*u*nn*a ni stunna jina kubwa better than yesterday
ni stunna jina kubwa manze what can i say
cheki vinye wanafyat wakinicheki kwanye stage (huh)
stunnaman ni m simple yaani
toast to the air kama unakula genge money
na toast kama umeembrace ma manzi kwani
shots ngapi tumerusha kaa rudisha yaani
skittle nikipata ninarusha kaa quaterback
na mid s*x you know that i hit it from the back
big chеques nikisign buda nikipewa guap
funny vile ganji zimеfanya nipatiwe wap
na si skilibeng dame anadai she has never seen richer men
na kama jo si mimi itakuwa aje then
another banger kutoka stunna i got hits jo my men
i got hits jo my men
krr krr krr
chorus]
mbona uko shy venye wewe ni karembo
kwa hivyo baby katika
na ona ukisonga unatishia warembo, cheki baby lkatika
mbona uko shy venye wewe ni karembo
kwa hivyo baby katika
na ona ukisonga unatishia warembo, cheki baby lkati
Random Song Lyrics :
- eternal - asiah lyrics
- я в порядке (i’m okay) - flatturn lyrics
- l.a. arteest café - stew lyrics
- intro i - thefenzi lyrics
- born dead - marrio esco lyrics
- arrow¤دين اللّادين - psy.2a lyrics
- children of tomorrow - stevie b lyrics
- il y eut - ivy (slam) lyrics
- hang around - drippy lyrics
- toronto - taylor janzen lyrics