naila - leteipa the king lyrics
#intro
mhhhhhhh
ni vampk
254
big daddy..
#verse
siku hizi namea kitambi
penzi tamu unalonipa
kama kukupenda ni dhambi
mbinguni kamwe sitofika
unanifanya niwe chongo
kipenzi weeh
siku hizi wengine siwaoni
unaponigusa mgongo
sihemi babe
utamu hadi kisogoni
#hook
ukinibusu kwapani
kijasho chanitoka
nahema na maskio
(aeeeeeh)
usiruhusu jirani
waonje yangu soda
utanikondesha mwenzio
#chorus
i hope you know
(naila)
you are my one and only girl
(naila)
and i love you so much
(naila anyoor)
you are my ombitho
(naila)
the words on every song
(naila)
na sikushei ngo’
(naila anyoor)
and i will sing
waskie
(aeeeeeh)
that you are my queen
wavimbiwe
(aeeeeeh)
#verse
nitakupa unachotaka
hata iwe uridhi w*ngu
nyumba shamba pengine
na hizo pesa zikikata
tutauza figo zangu
juu ntamea zingine
kwako napata vinono
mgandogando ngurunyi
yeaaah
yaani chapati madondo
avocado thufu ndi!
i hope you know
#hook
ukinibusu kwapani
kijasho chanitoka
nahema na maskio
(aeeeeeh)
usiruhusu jirani
waonje yangu soda
utanikondesha mwenzio
#chorus
i hope you know
(naila)
you are my one and only girl
(naila)
and i love you so much
(naila anyoor)
you arе my ombitho
(naila)
the words on every song
(naila)
na sikushеi ngo’
(naila anyoor)
and i will sing
waskie
(aeeeeeh)
that you are my queen
wavimbiwe
(aeeeeeh)
Random Song Lyrics :
- los últimos días de marlene - la frontera lyrics
- so sincere - 1-o.a.k. lyrics
- tyle chwil - borixon lyrics
- deigamer batallas legendarias super meat boy vs isaac - deigamer lyrics
- keine zeit - laer xirtam lyrics
- we are so rich - a talking fish lyrics
- unterwelt (nitronoise remix) - suicide commando lyrics
- younique - carson marion lyrics
- j'gratte - fa2l lyrics
- the wreckoning - latyrx lyrics