mabuga - leeroy lyrics
[intro]
gachi b
[verse : leeroy]
badman pon da beat tell my story
(story)
only me i know what i did just to get here (get here)
alot of fake love spreading when im in town (in town)
they didn’t love me back now they know me (know me)
they didn’t love me back then now they know my name
but i promise i ain’t done i ain’t go nowhere
and me and you so different we can’t be the same
yeh yeh
[chorus: leeroy]
ta kujua nimetokea wapi from the scratch yeh
uliza mabugaaa yeh
uliza mabugaaa yeh
unataka kujua daily tunakaza na atukati tamaaa yeh yeh
yeh uliza mabuga yeh
uliza mabuga yeh
[bridge: leeroy]
mabu mabu mabu
mabu mabu mabu
mabu mabu mabu
oulalala mabuga
mabu mabu mabu
mabu mabu mabu
mabu mabu mabu
oulalala mabuga
[verse: younglunya]
shindana wezavyo ila uwezi kuyashinda na maneno ya watu
kitaka jua nipetoka uliza kiatu
na mwendo mdogo mdogo nyatu nyatu
wanataka kutuponda akilini akili zenye fyatu
tumekua kwa pesa za mkaa
shule tulifeli ila tuna elimu ya mtaa
tusha chana kila choo choo kila bar
apo enyewu sio nguo tu na ndala mpaka ngozi imefuba (oh my)
naeshimu saa sipotezi mdaa (drip drip)
nicest b*tch level za hooda
been through ups and down sio easy buda
mateso yangu jasho na damu uliza mabuga
[chorus: leeroy]
ta kujua nimetokea wapi from the scratch yeh
uliza mabugaaa yeh
uliza mabugaaa yeh
unataka kujua daily tunakaza na atukati tamaaa yeh yeh
yeh uliza mabuga yeh
uliza mabuga yeh
[bridge: leeroy]
mabu mabu mabu
mabu mabu mabu
mabu mabu mabu
oulalala mabuga
mabu mabu mabu
mabu mabu mabu
mabu mabu mabu
oulalala mabuga
Random Song Lyrics :
- righteous ones - aztec flow lyrics
- i die happy on the gallows - desertion lyrics
- lll - мак сима мгла (mak sima mgla) lyrics
- always be 2020 - caleb hearn lyrics
- mesocain - anča band lyrics
- cœur mort - mad lyrics
- necessary - k-crae lyrics
- amintiri - afterparty lyrics
- bryce hall disstrack - void (rapper) lyrics
- don't bury me yet - the raw herbs lyrics