tamu - lbk nandeboy lyrics
bien sana, bien sana, bien sana bien sana
she never leave me h*rny
she never leave me lonely oooh
she never leave h*rny
she never leave me lonely oooh
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa
hii kitu tamu zaidi ya tende na muwa
uwa lake la siri mimaji na mwagiliya
kwenye uwanja wa mchezo tayari kajiachiya
na alivio msafi kulamba siwezi jutiya
a nita ifiatuwa kufika nita chеlewa
na akiliya na kaza
navile nyoka anameza
yee ndiyе anaye niweza
hataki ku mubembeleza zaza
asije aka nipoteza zaza
aa mi kwake niko maututi
yee ndo ka nishoot
minaye nkama msitu na muti
yata tutenganisha mauti
ok she’s so s*xy she’s so cute
ana titititi so cute
kwa hisia zangu yee kamiliki remote
billboard ya warembo number one kwenye chart
ana shepu ana sura ana height
yaani yenteyente bien sana
mtoto nzoto sembesembe bien sana
bien sana bien sana
(chorus)
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa hii kitu tamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa hii kitu tamu zaidi ya tende na muwa
bien sana!
she never leave h*rny
she never leave me lonely oooh
she never leave h*rny
she never leave me lonely oooh
she never leave me h*rny
she never leave me lonely oooh
she never leave me h*rny
she never leave me lonely oooh
a simusifii na waambiya ukweli
penzi lake tamu limechanganya yangu hakili
kimwili ame umbika
umbo napo tazama nadhani malaika
nampenda ana nipenda kimapenzi twa skika
alafu baby, bila ruhusa kiunoni na mushika
no please! hajanifanya ku kwazika
miwake kimwili na kiroho nampenda
alivo mtamu siwezi hata k*mtenda
mimi nampenda tena sana
hakuna siku minaye tuta kuja kuachana
aaa, okay she’s so s*xy she’s so cute
ana titititi so cute
kwa hisia zangu yeye kamiliki remote
billboard ya warembo number one kwenye chart
ana shepu ana sura ana height
yaani yenteyente bien sana
mtoto nzoto sembesembe bien sana
bien sana bien sana
she never leave me h*rny
she never leave me lonely oooh
she never leave me h*rny
she never leave me lonely oooh
she never leave me h*rny
she never leave me lonely oooh
she never leave me h*rny
she never leave me lonely oooh
bien sana bien sana
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa hii kitu tamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa
nitamu zaidi ya tende na muwa hii kitu tamu zaidi ya tende na muwa
Random Song Lyrics :
- goat - kln (l2b) lyrics
- br code (slowed) - maestrong, plimmo & dj gar beat lyrics
- solid! - jengo x steven fendi lyrics
- memphis munde - bagi munda lyrics
- no shakespeare - gabe connelly lyrics
- viper - cowboyclicker lyrics
- gettin’ old - callista clark & scotty mccreery lyrics
- intizar - neşe karaböcek lyrics
- biće skoro propast sveta - dušan jovanović (srb) lyrics
- all the things i’ll never say - 7 days in alaska lyrics