ya ramadan - lava lava lyrics
ya ramadan
ya ramadan
ya ramadan
ya ramadan
ya ramadan mwezi ulio mwema
ya ramadan huja kwa watu wema
ya ramadan tujitahid tenda mema
ya ramadan tuzivune neema
ya ramadan
ya ramadan
ya ramadan
ya ramadan
ndugu zangu katika imani
imekuwa bahati kubwa sana kwetu
kwa kuona tena mwezi mtukufu wa ramadan
ni mwezi unakuja mara moja kwa mwaka
ni mwezi uliojaliwa nyingi neema
basi tuitumie ipasavyo nafasi hii
nafasi itakayotufanya kuwa bora siku ya malipo nafasi itakayo
tusogeza mbele milango ya pepo maana halisi ya kuja mwezi mtukufu wa
ramadan ni lengo moja tu kutufanya tuwe wacha mungu tuutumie vyema
mwezi huu ili uwe wenye kuleta mabadiliko makubwa katika
nafsi zetu ziwe zenye k-mpendeza mwenyezi mungu ramadan mubaraka
tujiunge waumini mwazini akiadhini
tuende misikitini ayaaaa
tuwalishe masikini
wagonjwa mahospitalini
ndo inavyosema dini
na tuziswali swala tano
swala tu swalaa
na tuziswali swala tano
swalaa tu swalaaa tuziswali tano
Random Song Lyrics :
- heartbeat connection - swim [stony brook, new york] lyrics
- crusaders of steel - witchseeker lyrics
- harmaa jätti - klamydia lyrics
- perfect - keke leta lyrics
- no capo - noa mal lyrics
- ichigo - scriptz lyrics
- take your time - sarah and the sundays lyrics
- wasted love - vicki vox lyrics
- ex aşkım (club) - kenan doğulu lyrics
- everybody wants to party - fred and his friends lyrics