lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ipekeche - lava lava lyrics

Loading...

aaaaah! aaaaaah!
iyo lizer
aaaaah! aaaaah!

[verse 1]
eh baby ama kweli umefundwa unyago (unyaagooo)
mungu amekupea your to fine ooh (iyeeee!!!)
una vichuchu toboa beli
uko nyuma eminado (naaado)
nyonga inabembea (iyeeee!!!)
eh, your love baby gone take me higher (ayayaa!!)
nakua katoto yaya (ayayaa!!!)
i swear your my desire (yaaaya ooh)
sa nipe zamigando nyani ngedere
viuno mgando ndani segere
nkuvute kando
nikuchumishe tembere
unionyeshe mambo
watikisaje wezere

[chorus]
sa ipekeche ipekeche
ipekeche ipekeche
ipekeche ipekeche
baby show me
i wanna see u dance
ipekeche ipeke!!
ipekeche ah peke!!
ipekeche ipeke!!
ipekeche ah peke!!
ipekeche ipeke!!
ipekeche ah peke!!
eeeh! eeeh!
[bridge]
baby show baby show
show dem vile ulivyo machachari
baby show baby show
show dem unasongaje ugali
baby show baby show
show dem mambo yakizanzibari
baby show baby show
show dem kama wewe ni pisi kali
mwembamba au munene
tuonyeshe mandingo swadakktaa!!
changanya masebene
chakacha bolingo swadakktaa!!
kwachini itekenye
wowowo ngongingo swadakktaa!!
wowowo swadakktaa!!
ngongingo swadakktaa!!
sa nipe za migando
nyani ngedere
viuno mgando
ndani segere
nkuvute kando
nikuchumishe tembere
unionyeshe mambo
watikisaje wezere
[chorus]
[chorus]
sa ipekeche ipekeche
ipekeche ipekeche
ipekeche ipekeche
baby show me
i wanna see u dance
ipekeche ipeke!!
ipekeche ah peke!!
ipekeche ipeke!!
ipekeche ah peke!!
ipekeche ipeke!!
ipekeche ah peke!!
eeeh! eeeh!

[outro]
baby show baby show
show dem mambo yakizanzibari
baby show baby show
show dem kama wewe ni pisi kali

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...