lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

moyo sukuma damu - lameck ditto lyrics

Loading...

ooh ooh
nimeamua kuupumzisha moyo w-ngu
maana siku nyingi unateseka juu yangu

kutwa kupelekwa puta na akili yangu
eti kisa kuuridhisha mwili w-ngu
achaaa nikajaribu na kwingine, sio fungu langu pengine
moyo suk-ma damu sio vingine
mwili usije zusha na vingine, kuanza kuparama na mengine
moyo suk-ma damu sio vingine
ayeee ayeee ayeee
suk-ma damu sio vingine
ayeee ayeee ayeee
moyo usichanganye na vingine
ayeeee ayeee ayeee
moyo suk-ma damu sio vingine
ayeee ayeee ayeee
usichanganye na vingine
kwenye mapenzi yaliyonifika sio siri yangu
maana wengi mliiona hali yangu
kitambaa kiliyachoka machozi yangu
tabu niliyoipata sio stahili yangu
aaah haaa sasa mimi ni mtu mwingine, niliyefunzwa na mengi eeeh
moyo suk-ma damu sio vingine
tenaa usidanganywe na mwili eeh, umeumbwa kutamani mengi eeh
usije nik-mbusha ya kuleee
ayeee ayeee ayeee
suk-ma damu sio vingine
ayeee ayeee ayeee
moyo usichanganye na vingine
ayeee ayeee ayeee
suk-ma damu sio vingine
ayeee ayeee ayeee
usichanganye na vingine
usisikize ya mwili yatadanganya danganya moyo
ayee ayee ayeee
suk-ma damu sio vingine
ayeee ayeee ayeee
moyo usichanganye na vingine
ayeee ayeee ayeee
moyo suk-ma damu sio vingine
ayeee ayeee ayeee
usichanganye na vingine
mo mo moyo suk-ma damu sio vingine

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...