favored - lamasias lyrics
verse 1 (jessica honore)
pale wengine walinikatia tamaa
uliona ubora w*ngu, ukaniamini sanaa
nilisuk*mwa sana ili nianguke
ila! umenishika umenishika
umenipa ushindiii
najiaminiii
nina imani nipo uzimani
wewe ni wa pekee unipendae kwa dhatiii
wewe ni wa pekee unipendae kwa dhatiii
i know that i know that i know
you are the one who loves me truly
you are the one who loves meee
hook (jessica honore)
ulinipenda ukanichagua
ukaniinua mbele ya mataifa oouo uoo
oouooh uoooh
juu ya nchi umenijulisha
kwako mimi nimependwa
oouooh uoooh
oouooh uoooh
verse 2 (lamasias)
eyoo igbo!
i stand on my own, i got big god
i wanna talk talk to my people
i had a frеsh start when he made call
hе made sure
ama changed man, am favored
he is the top don
who is elchapo??
he is the best thing
he is love, i know
he gave me a wife, we are the best couple
nina endelea nina pendelea
ndani ya pendo lake ninaogelea
bata za mbinguni ukapotezea
ukashuka msalabani nikakombolewa
ukatushindia, ukafungulia baraka za mbinguni
zatumwagikia, zatutangulia
zatukimbilia shaaaaa!
you got me so i got this
my ride or die
my heartbeat
my sunshine
my moonlight
my morning star, my lord
he is my shepherd, shall never want
my lord god, my number one
and after all it’s said and done
this light of mine will always shine
hook
verse 2 (lamasias)
true story they hated me
ye alivyopaa
alinifanya masihi
ile mi kung’aa wakaniita nabii
nikasema mi sitaki sifa zote kwa king
we chased the devil by force
roho wake bwana, nguvu yao wamchao
wale wampendao ndio wana hao
you got me so i got this
my ride or die
my heartbeat
my sunshine
my moonlight
my morning star, my lord
he is my shepherd, shall never want
my lord god, my number one
and after all it’s said and done
this light of mine will always shine
hook
outro (jessica honore)
upendo wako usio na kipimoo
umenionesha wewe bwanaa
ooouooh uoooh
nimependwa nawe
na kushikwa na upendo wowooo
oooouo uoooh
Random Song Lyrics :
- busco en ti - luis enrique lyrics
- live 4 die 4 - david may edit mix - r.j. & pitbull lyrics
- nossa chama - george henrique & rodrigo lyrics
- le repos c'est la santé - iam lyrics
- shotgun blast - southside playaz lyrics
- choose your weapon - miles of bones lyrics
- take me away - live in chicago - ween lyrics
- beware - crisis lyrics
- may we all (acoustic) - florida georgia line lyrics
- letter exchange/briefwechsel - freundeskreis lyrics