qualify - lady jay dee lyrics
Loading...
[verse 1: rama dee]
mpenzi ume qualify
kuwa nami
tena bila vyeti
wewe ndio my favourite
mali yangu, weh
kuna mengi
[pre*chorus: rama dee]
maisha
ya sasa
ni vita
na mikasa
maisha
ya sasa
ni vita
na mikasa
[chorus: rama dee]
mpenzi
mpenzi
kw*ngu ume qualify
mpenzi
kw*ngu ume qualify
oh, oh, ai
[verse 2: lady jaydee]
kw*ngu ume qualify
ya dunia mapenzi
dunia mapenzi
wewe ndio my favourite
mali yangu, weh
kuna mengi
[verse 3: lady jaydee & rama dee]
huyalazimishi mapenzi
(huya, huya)
hunifananishi na wezi
(homa, homa)
hunidhalilishi mpenzi
ume qualify
[chorus: rama dee]
mpenzi
mpenzi
kw*ngu ume qualify
mpenzi
kw*ngu ume qualify
ooh, ai
kw*ngu ume qualify
mpenzi
kw*ngu ume qualify
ooh, ai
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- way up high - wazinated lyrics
- something in the ether - fish & bird lyrics
- someone new - aryan walia lyrics
- annihilation (thresh e aurelion sol) - wtayllor lyrics
- hiç - rubato (grup) lyrics
- waiting to meet - zero kares lyrics
- rhyme renegades contest entry - kdoubleu lyrics
- a beauty in the horizon - garrett t. capps lyrics
- cum o facem noi - doc lyrics
- fly away - jason nkanga lyrics