ndoto yangu - lady jay dee lyrics
[verse 1: lady jaydee]
kila ninacho ona
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
kila nilicho omba, ah
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
…
[verse 2: rama dee]
kila kiu yangu, eh
wewe ndio yangu champagne
you’re the one i love, yeah
ndoto yangu, nilale
[verse 3: lady jaydee]
you’re my one and only
hakika, kituo ni hapa
hujanifanya nikonde
nanenepa ukiwa hapa
[pre*chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[hook: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
[verse 4: rama dee]
tulitembea pamoja
kuif*kuzia hii ndoto
tulipigana pamoja
kuikaribia hii ndoto
tuliamini, amini
tukakubaliana
mi nawe
ndoto yangu, ndoto yako
ndoto yako, ndoto yangu
mafanikio tuliyo nayo
si bahati, ni mipango
baby
[pre*chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[outro: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
Random Song Lyrics :
- südtirol - andreas gabalier lyrics
- since you're gone - samantha gervasio lyrics
- hellkat - jaye naima lyrics
- tombstone - lizard army & lil choppa lyrics
- all in love is fair - cal tjader lyrics
- guinness book of records - milow lyrics
- icy #freestyle - хабип мацуевич (xabip matsuevich) lyrics
- harry potter and the chamber of flow - thiccler & poupm'goo lyrics
- dance petunia dance - 0x3 lyrics
- hallelujah - baby tate lyrics