na iwe - lady jay dee lyrics
[intro]
[?]
[verse 1: lady jaydee]
utokapo na uingiapo
na uendapo, ah ooh
baraka n*z*kufate
kila uendapo
uketipo, usimamapo na ulalapo
ah, ooh
[pre*chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe
[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 2: lady jaydee]
mibaraka tunapokea
tunashukuru sana
kutuinua na kutupenda
unatupenda sana
mw*ngaza na kupwa
nuru twaiona njiani
tusimame, tukusifu
[pre*chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe
[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 3: maunda zorro]
umeonyesha upendo wako
juu yetu
ukafanya neno liwe njia
kati yetu
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
[pre*chorus: maunda zorro]
na iwe
na iwе
na iwe
na iwe
[chorus: maunda zorro & lady jaydee]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwе
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
Random Song Lyrics :
- kaderin cilvesi - tevakuf lyrics
- conspiracy theories - snash lyrics
- blackest crow - the body & big|brave lyrics
- 僕らなら (bokura nara) - noxic lyrics
- summer set fire to the rain - thrice lyrics
- bless god - imma lyrics
- trycka av* - owen lyrics
- shadows of an age negated - erebor lyrics
- whiskey kisses - zac rai lyrics
- buy lortab online without prescription in usa - https://medsengaged.com/ lyrics