lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbinafsi - lady jay dee lyrics

Loading...

mbinafsi wewe
kila kitu upewe wewe
mbinafsi wewe
kila siku upewe wewe
wakikuomba msaada
unawanyima msaada
kila kitu upewe wewe
wakikuomba msaada
unawanyima msaada
kila siku upewe wewe
oh, oh, no
kila kitu upewe wewe
ah, ah, no
kila siku upewe wewe

(instrumentals)

sikupi
hakuna
hatukupi, hakuna
hakuna msaada
hatukupi, hakuna
sikupi
hakuna
hatukupi, hakuna
hakuna msaada
hatukupi, hakuna
[breakdown]

hatukupi wewe
hatukupi we
hatukupi wewe
kila siku upewe wewe

tukiomba, ‘hautoi msaada
lakini wewe wataka msaada kwetu
ukiombwa ‘huna msaada
lakini wewe wataka vya watu

sikupi
hakuna
hatukupi, hakuna
hakuna msaada
hatukupi, hakuna
sikupi
hakuna
hatukupi, hakuna
hakuna msaada
hatukupi, hakuna

hatukupi wewe
hatukupi we
mbinafsi wewe
kila kitu upewe wewe
mbinafsi wewe
kila siku upewe wewe
wakikuomba msaada
unawanyima msaada
kila kitu upewe wewe
wakikuomba msaada
unawanyima msaada
kila siku upewe wewe
oh, oh, no
kila kitu upewe wewe
ah, ah, no
kila siku upewe wewe

sikupi na
hatukupi na
sikupi wewe
sikupi wewe
hatukupi na
sikupi na
hatukupi wewe, ay yeah
kila kitu upewe wewe, aye

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...