i miss you - lady jay dee lyrics
[intro]
(combination sounds)
[chorus: lady jaydee]
ah, ha*ha*ha
we acha tu
i miss you
nimekaa nakufikiria hapa
nakuwaza kila saa
tears on my pillow
nakuwaza days and nights
nimechoka ‘nipo njiani
naamini we jirani unipe furaha
[verse 1: pappy kojo drop]
[chorus: lady jaydee]
ah, ha*ha*ha
we acha tu
i miss you
nimekaa nakufikiria hapa
nakuwaza kila saa
tears on my pillow
nakuwaza days and nights
nimechoka ‘nipo njiani
naamini we jirani unipe furaha
[verse 2: lady jaydee & pappy kojo]
kutoka siku ya kwanza
nilijua kwamba, ooh
(mm)
itakuwa ngumu sana
na nikawaza, ooh
(mm)
where you are?
you’re far away, come back home
(mm)
it’s not the same without you, baby
come back home
i need you here with me
come back home
tears on my pillow
eh, eh…
narudi, nijifariji, kuona
karibu, utarudi, nyumbani
haielezeki
oh, i miss you
[chorus: lady jaydee]
ah, ha*ha*ha
we acha tu
i miss you
nimekaa nakufikiria hapa
nakuwaza kila saa
tears on my pillow
nakuwaza days and nights
nimechoka ‘nipo njiani
naamini we jirani unipe furaha
[verse 3: lady jaydee]
kila siku nafungua pazia, asubuhi
naangalia nje, njiani
nikidhani pengine, siku utarudi
ili tena niwe furahani
natafuta nyayo zako
narudi, nijifariji, kuona
karibu, utarudi, nyumbani
haielezeki
oh, i miss you
[chorus: lady jaydee]
ah, ha*ha*ha
we acha tu
i miss you
nimekaa nakufikiria hapa
nakuwaza kila saa
tears on my pillow
nakuwaza days and nights
nimechoka ‘nipo njiani
naamini we jirani unipe furaha
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- a fulana - rita lee lyrics
- cadê você - sorriso maroto lyrics
- você é o mel - tom zé lyrics
- outra vez - nilton césar lyrics
- miedo - m-clan lyrics
- a a a adorabile cercasi - jula de palma lyrics
- de tarde - cristina mel lyrics
- ronda - fagner lyrics
- na lama - antónio variações lyrics
- a profecia - alcione lyrics