i love myself - lady jay dee lyrics
[intro]
i love myself
[verse 1]
sina wa kunikwaza
nipo na wakuniliwaza
sijawahi kujidanganya, kujichanganya
najipenda kujiweka kwanza
najishika mkono
kudondoka ni njia na kuondoa fear
hata nikikosea najitafakari
bila kuchelewa
[verse 2]
sina wa kuniropokea
najipenda mwenyewe na kujitegemea
wivu haunisumbui
chaguo langu lisikufanye uwe na uadui
kioo kw*ngu hicho
kioo kinanipa vazi lipi, nitupie
nauelewa moyo w*ngu
that’s why i love myself
[chorus]
kupendeza ndio kawaida yangu
(wala shaka sina)
usipopenda hilo si suala langu
(i love myself)
kujipenda, ‘hiyo ndiyo hulka yangu
(wala shaka sina)
usipopenda hilo si shida yangu
(i love myself)
[verse 2]
ni kitunguu tu, nikatapo kinaweza nitoa chozi
si maneno ya watu ‘haya nifikii hata shingoni
sina wa kunisumbua, hey
na enjoy my life
na niwaambie, nimejifunza kuona
nilipoanzia
hata nikidondoka
na simama mwenyewe
niwafunzе, kwani mi ndio somo
somo, la kukufanya ujielewe
mimi ndio somo
that’s why i lovе myself
[chorus]
kupendeza ndio kawaida yangu
(wala shaka sina)
usipopenda hilo si suala langu
(i love myself)
kujipenda, ‘hiyo ndiyo hulka yangu
(wala shaka sina)
usipopenda hilo si shida yangu
(i love myself)
kupendeza ndio kawaida yangu
(wala shaka sina)
usipopenda hilo si suala langu
(i love myself)
kujipenda, ‘hiyo ndiyo hulka yangu
(wala shaka sina)
usipopenda hilo si shida yangu
(i love myself)
(instrumentals)
Random Song Lyrics :
- like waves - nak lyrics
- lions of kandahar - micky & the motorcars lyrics
- paris - blaufuchs lyrics
- plug fr - mohhmoney lyrics
- elle - enima lyrics
- infinite paradise - the lulu raes lyrics
- nunca - boreahl lyrics
- nobody - golda lyrics
- день и ночь (den' i noch') - натали (natali) lyrics
- pehli baar - rupika lyrics