historia - lady jay dee lyrics
unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika
muda huo uliuchezea, pesa hizo ulizichezea
kabla hata ya uzee haujaja walishasema aahh alikuaga
muda huo muda ulikwepo, muda huo uliopewa
hela nazo zilaikuwepo hela ulizo barikiwa,
maisha mazuri, nyumba nzuri gari nzuri na nini na nini.
muda huo uliuchezea, pesa hizo ulizichezea
kabla hata ya uzee haujaja walishasema aahh alikuaga
unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika
(beat)
tena hata, hata wenzio, ulokua nao jana
hata nao wanakusema mbali na kukucheka
umegeuka stori, umekua mfano, umegeuka tukio.sio kivutio
muda huo uliuchezea, pesa nazo ulizichezea
kabla hata ya kifo chako. walishasema aahh alikuaga
unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika
(beat)
sitaki leo kuwa historia labda kesho niwe historia
nataka niache historia itakapofika kuwa historia
(beat)
unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika…
(beat)
unakubalije uwe historia kabla siku yako haijafika, iweje leo uwe historia kabla siku yako haijafika…
end.
Random Song Lyrics :
- that feeling you get - cothel lyrics
- megalodon - confess lyrics
- rock out ! - tikkit lyrics
- da code - street money boochie lyrics
- damn fool - trick trick lyrics
- ебанутый день - pistenkov lyrics
- maglor - the lost elf - ainur lyrics
- supernatural - the moon baby lyrics
- south of life - foreign pain lyrics
- like i do everytime - rafayel, miggy lyrics