lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

habari ya mjini - lady jay dee lyrics

Loading...

(piano instrumentals)

[verse 1: lady jaydee]
zile zama za kugombana
kuzozana, pambana
zimepita, tumeshibana
jifunza samehana
kwa ma ex nimejifunza kuwa single si [?]
nakupenda sioni kosa
na surrender, sina namna

[verse 2: rama dee]
nnayo dhamana
kukuhadithia
lolote linalo tibu
mmm
pia nnayo karama
nishakuangalia
ni wewe uliye karibu
ooh, ooh
sina haya na penzi lako
asubuhi, adhuhuri
penzi lifunike na kawa, inzi wasije ndani

[verse 3: lady jaydee]
sina baya na penzi lako
hata ije tufani
kwani tufike hata na ngalawa, dhoruba hatuoni
[chorus: rama dee & lady jaydee]
wewe ni habari (habari ya mjini)
wewe ni kibali (kibali changu mimi)
wewe ndio fahari (fahari yangu mimi)
uwe mali halali (mali ya kw*ngu mimi)
wewe ni habari (habari ya mjini)
wewe ni kibali (kibali changu mimi)
wewe ndio fahari (fahari yangu mimi)
uwe mali halali (mali ya kw*ngu mimi)

[verse 4: lady jaydee]
penye zuri, baya haliwezi kupenya
kama moshi, wa ubani unavyo potea
hadhi yako zaidi ya [m.khatibu] kwa maneno yalivyo pangwa
kugombana ni kawaida, ukubwa kusameheana

[verse 5: rama dee]
w*ngu kinanda
unanipatia
hisia mwanana
unaniletea
huna matata
unaniwezea
penzi shata, shata eh
unanipatia
[hook 1: rama dee]
sina haya na penzi lako
asubuhi, adhuhuri
penzi lifunike na kawa, inzi wasije ndani

[hook 2: lady jaydee]
sina baya na penzi lako
hata ije tufani
kwani tufike hata na ngalawa, dhoruba hatuoni

[chorus: rama dee & lady jaydee]
wewe ni habari (habari ya mjini)
wewe ni kibali (kibali changu mimi)
wewe ndio fahari (fahari yangu mimi)
uwe mali halali (mali ya kw*ngu mimi)
wewe ni habari (habari ya mjini)
wewe ni kibali (kibali changu mimi)
wewe ndio fahari (fahari yangu mimi)
uwe mali halali (mali ya kw*ngu mimi)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...