lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

because of love - lady jay dee lyrics

Loading...

(instrumentals)

[intro: both]
because of love

[verse 1: lady jaydee]
unaweza ukahisi mwili ka ume*paralyse
this is love
you need to think twice
na kuna muda utahisi ka uko paradise
because of love
na kuna muda ‘unajiuliza ulipo kosea
au kuna watu hawapendi
ushadondoka, huwezi hata kusogea
because of love

unajiuliza ‘why in this world?
anakudanganya
anakuchanganya
nawe ulitaka sweet, sweet love
aah
unajiuliza ‘why in this world?
anakudanganya
anakuchanganya
nawe ulitaka sweet, sweet love
because of love
because of love
because of love
because of love

[verse 2: rama dee]
mnapendana mahaba mazito
kila tukiwaona mna furaha
chumbani mnatupiana mito
mnatamani mgandishe masaa
tatizo si kutengeneza pendo, kulinda upеndo ndio shida
na tatizo sio kupata kidonda
ila kupewa pole sio tiba

unajiuliza ‘why in this world?
anakudanganya
anakuchanganya
nawe ulitaka sweet, sweet lovе
yeah
unajiuliza ‘why in this world?
anakudanganya
anakuchanganya
nawe ulitaka sweet, sweet love
yeah

because of love
because of love
because of love (oh, this love)
because of love
[outro: lady jaydee & rama dee]
unaweza ukahisi mwili ka ume*paralyse
(paralyse)
because of love
nawe ulitaka sweet, sweet love
(sweet love)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...