sungura kwa kichaka (king kaka diss) - labalaa lyrics
[verse]
wanapenda itisha feature
na kile mi najua kama siri nitawaficha
wanapenda kuwa chicha
high shinda ozone wakizidi vuta mchicha
sky sio limit, kuna background under picha
walai mi najibidii sichomi zangu kucha
walai, ukidream niko mbele kama future
wanapenda ongea sana ikizidi usiku kucha
sungura kwa kichaka ni nyama kwa sahani
sina time nawe kaka, kubonga ndio unataka
finger ni ya kati tu ni mate ndio napaka
itabidi uch-r- saba kwa kutaka vuka mpaka
we si hip-hop halisi, we ni hip-hop hanithi
sina time na mabinti, sina time za hadithi
za mafala hawafuati beat (eeh?)
nijipende tu na vaseline ndio ni-come kwa kichwa chako
kick kila door, murder kila mtu kwako
huskii nina roho ya ku-slash shingo zao
niwafunge miguu juu, nile shower na damu zao (aaah!)
majina fulani ni taboo
kwa vitabu za historia tumekwama ka tattoo
wakamba wawili tuko mia unawezadhani ma-voodoo
usichoke kuheshimia, kila hustle tuli-do
tulileta hadi octo, toka kwa garage akiwa hardcore kimangoto
siku hizi, ana-dish unawezadhani tu ni jackpot tu za lotto; alifuata yake ndoto (eeh?)
ulipata tumepika hustle ikakubali
ndio maana unasikika; ego haujazika?
hujui unawezaguswa utafute choo na kutapika?
[outro]
kuna majina mazee ni taboo, my friend, yaani hufai kugusa
ile hip-hop ilitengeneza yaani hiyo time ulikuwa mtoi, son
ama vipi? labalaa kama k
halafu wajua nini?
advertis-m-nt ndani ya beat jo; ndani ya ngoma, man
ukoo flani mau mau inarudi tena x2 alb-m mpya
ukoo flani mau mau! asikuambie mtu
yooo na imetoka, son, yeah
inajiita nini? ‘sungura kwa kichaka’, son
murder… sina time k-mwita kaka
we si hip-hop halisi, hip-hop halisi
mi ni hip-hop halisi, we si hip-hop halisi
hip-hop halisi, mi ni hip-hop halisi
hip-hop halisi, hii ni hip-hop halisi
hip-hop halisi, hii ni hip-hop, hip-hop, hip-hop halisi
yo, wacha nisare tu
mash, acha niende zangu, man (aaaah!)
Random Song Lyrics :
- niezgon - kamil pivot lyrics
- middle class and blue eyes - tc matic lyrics
- musica immortale - principe lyrics
- enakena yarum illaye - anirudh ravichander lyrics
- evviva - imnotike lyrics
- night and day - tdot illdude lyrics
- the great british grind off - raised by owls lyrics
- cargo - the monochrome set lyrics
- my my my - promise land lyrics
- i've had questions - tim hughes lyrics