kila mtu atauchukua mzigo wake - kwaya ya uinjilisti kkkt arusha mjini lyrics
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
kwa maana sote tasimama mbele ya kiti cha huk*mu
hapo atakapokuja mwana wa mungu
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
mbona wamhuk*mu ndugu yako natusihuk*miane
kama ndugu akikasirika mrejesheni kwa upole
mchukuliane mizigo kwa upendo
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
kila mtu ataipokea dhawabu yake mwenyewe
tutalipwa tulivyotaabika ukijiona wajidanganya
mtu aipime kazi yake mwenyewe
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
Random Song Lyrics :
- longing for distant places - syneptic lyrics
- shot rang out - adam's house cat lyrics
- d14 - troyjan lyrics
- the heritage throne - king of asgard lyrics
- in the vision of the blind - rudra lyrics
- kell brook - grim sickers lyrics
- river - conor maynard lyrics
- wondering - jonlex lyrics
- pasko bawat sandali - darren espanto lyrics
- mr. oregano - mr. oregano lyrics