tangu nimjue yesu - kurasini sda choir lyrics
Loading...
tangu nimjue yesu na k*mkaribisha moyoni mw*ngu
yalopita yamepita na kuvaa utu upya ndani yangu
sijitahabishi tena ya kale hayana nafasi kw*ngu
nimevikwa utu upya nimekuwa kiumbe ndani ya yesu
utu w*ngu wa zamani umevikwa na kuvaa utu upya
sik*mbuki ya zamani yesu yu ndani yangu
nakimbilia wokovu kwa sasa yalopita yamepita
dunia kwaheri yalopita yamepita
maisha ndani ya yesu ni raha isiyokuwa kifani
magumu hurahisishwa yatoweka kwa jinsi usivyojua
mambo yote ya zamani hayak*mbukwi tena maishani
mpe yesu moyo wako utaona yote yanawezekana
Random Song Lyrics :
- roblox god - chlorofeat lyrics
- 1000 bocados - plutonio lyrics
- don't be afraid (god rest ye merry gentlemen) - stars will fall lyrics
- son - cathal francis lyrics
- 가슴이 놀래 (heartbreak) - n.flying lyrics
- yessir! - merlaku ra lyrics
- jellyfish - edward(me) lyrics
- so soon! (offline) - themusicnerdguy lyrics
- mama anajenga - harmonize lyrics
- all4u - deep$ide (@deepside999) lyrics