wanapenda - ksonrap lyrics
[intro]
boy ksonrap
bundi skrt skrt
it’s going down
you know what i’m saying
you feel it
[verse1: ksonrap]
wanasema wanapenda nikirap;
wanapenda kuskia kwenye interviews;
nikichana acapella mbona fresh tu;
siongei sana kama chiriku kirikuu;
kila siku tuna party kama sikukuu
scooby do;
wapenda kuniskia kwenye radio stereo;
wanapenda kuniona kwenye video;
wanapenda navyoflow kama chid go chid soo ;
mad flow kadgo wanapenda penda navyo score;
kwenye stage kwenye show wanapenda nikipewa ata collabo;
mpaka majogoo yani kama dingo jungle;
watu w*ngu wanapenda navyo shine wananipa tu michongo;
wanao hate sina hata kinyongo;
mkinibana fan’s wataandamana na mabango;
yote nisababu ya mapendo;
[chorus: bundi skrt]
yeee
huwa ni ngumu kufurai
kuna muda huwezi hata kusurvive
kunaambao hawatupendi tukiwa hai
ila mungu yupo nasi every time
Random Song Lyrics :
- thank you - the doodlebops lyrics
- black + white - aviv lyrics
- hotline bling - billie eilish lyrics
- cerbervs - wowod lyrics
- eeny meeny miny mo - lilmar lyrics
- vintage hugo boss - shahmen lyrics
- successful - cresp joe lyrics
- life without limits - criusel maccaine lyrics
- new - ace the child lyrics
- dantesco - j.s homero lyrics