lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ulijua - ksonrap lyrics

Loading...

word up!
yeah!yeah..
ksonrap!
you know what i’m sayin?

ulijua utabaki kwenye chart tu milele;
ulijua hakuna wengine zaidi yako wewe;
ukawa unakula vifaranga kama mwewe;
wewe ndo wewe kwenye vioo ukatupa sana mawe;
ulijua utabaki kileleni ka pierre konkfire;
ukajiona king kong ukataka kutawala kila kingdom;
ukawa mtu wa vinyongo na visasi wapinzani ukapiga marisasi;
ulijua wenzako wakifa utabaki;
udhulumu mirabaha ukataka kuharibu hii sanaa;
ulimuacha ukijua ni mgumba hatozaa
ulijua atakonda atachakaa;
ukaloga ituandame mikosi mabalaa;
ulikuwa mbinafsi ka mubutu ukaijenga bandolite;
ukavamia na mitutu ka bash*te;
ukamtisha mpaka nape
ukatumia sana ubabe ukapiga sana dili za mazabe;
huk*mskiliza dada mange
chid alikwambia ukasema mvuta bange;
haukujua mwisho wa moto ni majivu
ubaya mwisho wake ni aibu;
ka sabaya leo yamekusibu;
what goes around..comes around;
ulijiamini kama idd amini ukataka kuiteka na kagera;
wapinzani uliwatupa sana jеla;
kwenye game ukataka mkubwa kama fеlla;
huwezi kuwa juu..juu (juu juu)
forever (forever)
huwezi kuwa juu juu

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...